sheby dunia
Member
- Jul 12, 2018
- 78
- 83
Nyie watu msikie aisee,mbona mnakuwa kama kenge!? Hii nchi watu wanatia aibu sana,suala ni lilelile no matter investment schemes italavyokuwa kwenye platform yoyote "UKIONA UMEITWA KWENYE FURSA JUA WEWE NDIO FURSA"Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku 60 base ya 35k ina rotate 125k kwa 60days vp mwenye uzoefu hii kitu ni kweli au nao wapigaji KMA calynder
Toka nduki.
Unalazimisha tu ku justify kupigwa. Haya nenda kajiunge Hawa sio watapeli, utatoboa na nzuri zaidi uweke hela nyingi. Uza ulivyonavyo ukiwa na 10m + aaaagh utavuna Sana mjombaDaaaaah sasa serikali na kampuni za mitandao zinaruhusu vp vitu kama ivi au tuseme tgo voda na serikali wote matapeli inakuaje mtu anafanya had registration kwa paybill ya kampuni ya mtandao na bdo serikali iko kimya this is fucking bullshits.ila mm calynder sikuwaona kma matapeli manake watu tulipata faida mbona isipokua weny tamaa zaidi ndo ilikula kwao..mm calynder siwadai ila niliinvest na faida ang ikarud.
Jaribu kuweka utatupa mrejeshoWakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku 60 base ya 35k ina rotate 125k kwa 60days vp mwenye uzoefu hii kitu ni kweli au nao wapigaji KMA calynder