Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Haaaaaaaaaa..... si ungemuuliza aliekutumia...
umepata meseji are u invited au mesejj umeipataje?
Haaaaaaaaaa..... si ungemuuliza aliekutumia...
Mimi hata sijui.
Tuma tu mkuu ujipatie miutapeli ya kisasa..
..watu wengine kama wamerogwa.....
Sasa si amuulize huyo aliyemtumia sms
Sidhani kama huyu alitumiwa msg.
Maana msg hata za invitation zilitumwa ka wa kwa watu stahiki...itakuwa hii ya mchango?
Mtambuzi unaitwa huku
ndio jamaa kani pm anataka mchango 52000 mimi sielewi ni wa nini ndio maana nikaupiza.ni pm ya muda kidogo ipa leo ndio nimeifungua.
Tuma kwanza halafu atakujibu...
Mkuu pole kwa ban. Process ni kwamba, weka namba yako ya mpesa au tigo pesa na pin zake then watachukua wenyewe.
Poa mkuu nitaweka kesho saa 100.