Wandugu,
wataalamu naomba kujuzwa, unapouziwa 512KbPS ya internet maana yake nini!?
Je hii ni spidi unayopaswa kuwa nayo kwa kila mashine uliyonayo kwenye say ofisi au spidi hii inagawanyika kwa kila mashine (if so nikiwa mashine kama 10) spidi itakuwaje?
Ninapoona Local Area Connection Status; Speed 100 MbPs ina tafsiri gani ukilinganiasha na 512KbPs hapo juu ninayopata kwa service provider!?
Asanteni sana kwa kujuzwa!
mkuu kama ni 512kbps jua ipo kwenye bits kwanza speed ya kwenye bytes(ambayo ndo standard) itakua around 60kBps.
kuhusu kupata speed hio hio muulize isp wengine wanatoa shared speed wengine wanatoa speed ile ile kwa kila pc, au pia unaweza test mwenyewe
Wandugu,
wataalamu naomba kujuzwa, unapouziwa 512KbPS ya internet maana yake nini!?
Je hii ni spidi unayopaswa kuwa nayo kwa kila mashine uliyonayo kwenye say ofisi au spidi hii inagawanyika kwa kila mashine (if so nikiwa mashine kama 10) spidi itakuwaje?
Ninapoona Local Area Connection Status; Speed 100 MbPs ina tafsiri gani ukilinganiasha na 512KbPs hapo juu ninayopata kwa service provider!?
Asanteni sana kwa kujuzwa!
Mkuu mashine yangu inasoma 100Mbps speed!! iko sawa kwenye hiyo 512Kbps