50 killed in New Zealand after gunmen attack Mosques(Waislamu wavamiwa Msikitini New Zealand; 50 wauawa)

Huyo punguani anaejiita mgen kishapewa darsa sana kuhusu hizo aya lakini nnakuhakikishia huyo ni wale wenye macho yasiyoona na masikio yasiyosikia na mwenye moyo wenye maradhi.


Auntie Faiza, nadhani itakuwa vyema kumjibu tu kwani sio yeye atakayefaidika ila wengine wenye maswali kama hayo ndio watafaidika kupitia yeye, yeye atakuwa kama Black board ya wengine kujifunzia. Ni bora ajibiwe tu na hiyo ndiyo wajibu wetu vinginevyo maadui wataendelea kuchukua nafasi ya kuupakazia Uislamu kwa chuki zao tu.
 
Uisilamu unaruhusu kufirana bro! Ushahidi Huu...na allah kawapa wepesi wa kata.3View attachment 1046809View attachment 1046811View attachment 1046815

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii chuki uliyokuwa nao usipobadilika moto utakuhusu.

Imam Suyutwi, Imam Baydhwai, Imam ibn Jariri Twabarii, Imam Qurtubii..

Hao ndiyo Maimam wa tafsiri ya Qur'an wanaofahamika kwenye Ulimwengu wa Kiislam. Niambie hizo tafsiri ya Qur'an umezitolea wapi?

Umeruka ukarukia kwenye FIQHI mlango wa Ghusli( fasli fii asbabul Ghusli)kipambanuzi kinachompambanukia mtu sababu za kuoga.

Sababu ya kwanza ni:

-kutokwa na manii kwa mwanaume iwe kwa njia ya kawaida(kujamiana) au isiyo ya kawaida( kuna watu wanatokwa na manii wakienda haja, wengine baadhi ya ajali inasababisha manii yanatoka, wengine wanajichua ambayo ni dhambi)

-Kudhamisha dhakari(uume) kwenye uke au kugusisha kichwa cha dhakari kwenye paji la uke. FIQHI ikapambanua zaidi ikasema "FII AYYI FARJIN" Au tupu ya namna yoyote kwa maana: Imma uwe uke, au tupu ya nyuma(puru) au tupu ya mbele au ya nyuma ya mnyama. Au tupu ya mwanaume mwenzako. Au ya mtoto mdogo( kuna wanaobaka watoto wadogo).Au ya khuntha( mwenye jinsia mbili).

Ulichosahau hizo ni "ASBABUL GHUSL" sababu zinazomwangukia mtu aoge, na wala si kipambanuzi cha kulawitiana na kufanya ijmaa na wanyama.Na kuoga hapa si josho la kawaida ambalo kila siku tunalooga bali hili ni josho la kisheria( kihukumu). Ndiyo maana sababu zilizooneshwa za kumfanya mtu aoge hilo josho ni tofauti.

Na kwa nini hayo yote yamezyngumziwa hivyo?

Rejelea kauli za Uislam zinazosema Uislam ni mfumo kamili wa maisha ya binadamu. Uislam umekamilika lakini wapo waislam wanaofuata Uislam lakini bado wana mambo machafu kama walivyo walevi na wacheza kamari. Ashakum si matusi! Ikiwa hayo mambo ya kiliyatwi ndiyo yamemuangukia Muislam imma awe mwanamke au mwanaume, kayafanya au kafanyiwa.

Je, Uislam unasemaje juu ya hayo?

Hukumu ya awali inayotoka ndiyo hiyo kwanza uoge josho hilo la kisheria uwe umemuendea mke wa kihalali au umezini au mambo ya kiliyatwi unakuwa na janaba. Na mwenye janaba ni "haramu alayhi sittatu ash'yaa" ni haramu juu yake mambo sita. Nayo ni;

(1)Swala(kusali), (2)Kutufu(ibada ya kuzunguka Alkaaba), (3)Kugusa msahafu, (4) Kukumbatia msahafu, (5)Kukaa msikitini na (6)Kusoma Qur'an.

Hayo mambo ni mazito kimizani ya kielemu ya Dini na ndiyo maana kuna josho la kisheria juu ya hilo.

Uislam unasema jambo lolote la kheri ukilifanya unapata thawabu unaandikiwa ni swadaqa. Ikiwa ni la Shari(ovu) unaandikiwa madhambi. Kumuendea mkeo kwenye njia ya halali ambayo ni tupu ya mbele tu(uke) unaandikiwa umefanya swadaqa. Kumuendea asiye wa halali ni uovu huo umeuelekea unaandikiwa madhambi.

Vipi anayemuende kinyume mke wake? Kutoka kwa Abuu Hurayrah, Mtume rehma na amani ziwe juu yake amesema;

"Yoyote atakayemuendea mke wake kinyume na maumbile amekanusha(ameyakana) kwa nafsi yake yale yote aliyeteremshiwa Muhammad (ambaye ni mtume)". Sahih Abuu Daudi 3094.

Kwa tafsiri nyengine ukimuendea mkeo kinyume na maumbile kimasihara hivihivi umetoka kwenye Uislam. Kauli ya kukanusha aliyekuja nayo Mtume kwa maana hata Mtume mwenyewe umemkana.

Kutoka kwa ibn Abbas, Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake amesema;

" Mungu hatomuangalia kwa jicho la rehma yoyote atakayejamiana na mke wake kinyume na maumbile". Attirmidhii 1165.

Kwa maana: kinyume cha rehma ni arrajiim, maana yake upo mbali na rehma. Sheytwani anaitwa Arrajim kwa maana yupo mbali na rehma kwa maana ana Laana ya Mungu. Ukiwa na laana ya Mungu wewe ni wa motoni.

Kutoka kwa Khuzaymah ibn Thaabit, Mtume rehma na amani ziwe juu yake amesema;

Mungu hana haya kwenye kuusema ukweli( hii kauli Mtume aliirudia mara 3), Msijamiane kinyume na maumbile na wake zenu. Ibn Maajah 1924.

Huyo ni mke tu ambaye ni halali kwako makatazo yake yapo hivyo. Vipi ukimuendea mwanamke wa haramu au mwanaume mwenzako unafikiri utakuwa kwenye nafasi ipi kwa Mungu? Waangalie watu wa Nabii Lutwi amani ya Mungu iwe juu yake walifanywa nini, bila shaka unalo jibu mwenyewe.

Ikiwa kama Muislam anayafanya hayo basi ayaache na amrudie Mungu. Maadamu bado yupo hai amrudie Mungu. Kwani Mungu ni mwenye huruma kwa waja wake zaidi kuliko huruma ya mama kwa mwanaye. Na si Muislam tu bali jamii yote kwa ujumla.

Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake anasema;

"Hakuna yeyote aliyeweza kustahimili udhia anaoupata kutoka kwa watu kama Mungu"

Hii yote ni huruma yake juu yetu. Illa ukim' beep sana atakupigia tu.


Uache kuupotosha ummah wa Jf. Ukiendelea na hiyo hali Mungu atakuchoma moto, na mahala penye makazi mabaya. Tuache chuki, tuhubiri haki na mapendo na tumuombe sana Mungu msamaha kwani Mungu ni mwenye mwingi wa huruma kwa waja wake.
 
Auntie Faiza, nadhani itakuwa vyema kumjibu tu kwani sio yeye atakayefaidika ila wengine wenye maswali kama hayo ndio watafaidika kupitia yeye, yeye atakuwa kama Black board ya wengine kujifunzia. Ni bora ajibiwe tu na hiyo ndiyo wajibu wetu vinginevyo maadui wataendelea kuchukua nafasi ya kuupakazia Uislamu kwa chuki zao tu.
Wewe unaonekana ni mgeni kwa huyo jamaa! Ingia kwenye profile yake halafu angalia hizo screenshots kaanza kuzi-post lini! Sasa hivi inawezekana kweli mtu yule yule zaidi ya mwaka anauliza kitu kile kile?
 
Itizame post yako nambari 574 utajua kwa nini nilighairi kujibu swali lako. Pengine nikupe dibaji, ulivyozungumza kuhusu Ghaddafi nikaona ni bora nighairi tu kukujibu lakini ngoja nikujibu kwa tanbihi.

Ghaddafi ijapokuwa alikuwa na mapungufu yake lakini hakuwatisha raia wake bali alikuwa anapambana na raia ambao walikuwa ni mamluki wa wamagharibi nchini mwake na ndiyo hao ambao walifadhiliwa na NATO.

Wakabatizwa kwa jina la Jihadist wa Libya ili kumuondoa Ghaddafi. Wale raia wote waliyokuwa wanaoneshwa kwenye media za west walikuwa ni funded. Hawana tofauti na wanachotaka kufanya Venezuela. CNN walirusha habari inayoonesha toothpick, miswaki hata energy biscuits hazipo Venezuela. Lakini uhalisia ni upi?

Baadhi ya raia wa Marekani wameenda wenyewe Venezuela na kuona supermarket zina kila kitu na miji wanayoonesha kwenye MSM zao kwamba zina maandamano miji hiyo watu wanapiga shughuli zao kama kawaida hamna maandamano. Hata baadhi ya media kubwa nazo zimeonesha uongo wa US/NATO.

Ni sawasawa na kadhia ya Sadam Hussein kwamba ana miliki silaha za maangamizi na wakatoa na picha za maangamizi anayoyafanya kwa raia wake. Baadaye mpiga picha ambazo picha zake zilirushwa kwenye runinga za wamagharibi kuhusiana na Sadam akajitokeza na kusema hizo picha in zake na alizipiga nchi fulani na hazihusiani na kadhia ya Sadam.

Huo ndiyo utofauti wangu na wako, nimekujibu tu lakini sitojibu kingine chochote kuhusiana na mada hii.
Ukweli wanaujua wenyewe waliopo huko,inaonekana sisi tonayodhani tunayajua ni uongo/yametengenezwa yani tunaongea tuliyosikia sio tunayojua.
 
Tatizo ni ku-screenshort au ujumbe sio sahihi?? Kwani sceenshort is for what purpose?? Sio kurahisisha mawasiliano?! Jitafakari Mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio screenshot! Tatizo ni kwamba huwa sipendi mijadala na watu ambao lengo lao sio kuelimishana bali wanataka kukashifiana! Nime-argue na Nucky Thompson kwa muda mrefu! Umeona kuna mahali nimekashifu Ukristo?! Kuna mapungufu mangapi kwenye Ukristo?! Kuna mahali umeona nayajadili zaidi ya kum-target yeye personally?

So, unless kama kuna kitu unachokitafuta kutoka kwangu vinginevyo, STOP QUOTING my posts kwa sababu SITAKI kujadiliana na mtu aina yako. Nimekuambia tangu jana jambo lile lile lakini naona unazidi tu! I've my maximum torelance limit, please stop testing my patience! KWANINI UNALAZIMISHA? HIVI NI MKRISTO WA AINA GANI WEWE?!

Ngoja nikuambie jambo moja! Kama kwenu hujafundishwa kuheshimiana, sisi kwetu tunafundishwa hivyol? Au kama unaishi kwa kutegemea kukashifu imani za wengine, I have my own life and religious discussions kwangu is only a part of social interaction and not a place where to find who's right and who's wrong! Hapa JF kuna watu kibao najadiliana nao kwa heshima na ni Wakristo! Hata mtaaani, naishi na wakristo na wengine ni marafiki zangu wakubwa! Na hata Quran ninayoiamini inaniambia kupitia 6:108 kwamba
Wala msiwatukane wale ambao wanawaita kinyume cha Mwenyezi Mungu wasije wakamtukana Mwenyezi Mungu kupita kiasi bila kujua. Hivyo Tumewapambia kila watu vitendo vyao, kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao, naye Atawaambia waliyokuwa wakitenda.
Ni kutokana na hilo ndio maana huwezi kunikuta nakashifu Ukristo unless niwe provoked kama unavyo-force wewe! So, again, SITAKI MIJADALA NA WEWE KWA SABABU MIJADALA YAKO NI YA KASHIFA na hiyo sio ada yangu! Kama unaamini Quran inafundisha kufir'ana, basi tunaofir'ana ni sisi, tatizo lako wewe nini? Au na wewe unataka kufi'rwa?

Moderator, Invisible, Mhariri, Active I'm warning your guy for one more time kwa sababu naona anatafuta shari na mimi! Nawaambia mapema kwa sababu mna tabia mkishakuta mtiti, huwa hamuangalii source ya mtiti ni nini?!
 
Mkuu unanionea bila sababu!; Mimi nimenukuu ilimu islamu tu, kama upotoshaji sio Mimi ilaha hiyo ilimu! Kisha nikauliza swali hili!; allah katoa HUKUMU gani kwa wanaume wanao firana? Nikirejea Kauli thabiti ya allah! ref;
Ukiitafakari aya.15 inahusu wanawake wanao sagana hapo allah katoa hukumu ya wazi kwamba wafungiwe ndani hadi umauti uwafishe! aya ya.16 inahusu wanaume wanao firana, hapo allah kajaa pembeni na kutupa wewe fursa ya kutoa Adhabu kwa masharti akitubu na kutengemea umuache usimuadhibu, na sababu ANAYO toa yeye Allah ni MWINGI WA HURUMA NA MSAMAHA! Ktk Tora Mungu ALIKWISHA WEKA WAZI KWAMBA wanaofirana wauwawe na damu yao itakuwa juu yao...ngoja niishie hapa kwa kwanza sababu Ninacho taka jibu toka furqan al Karim allah aseme Adhabu kwa wanao lawitiana! Tuwekee Mkuu!View attachment 1048068View attachment 1048070View attachment 1048071

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapatapo kuona ukichangia kwenye Uzi wa namna yoyote isipokuwa Uzi unaohusisha masuala ya Dini ya Uislam. Huchangii zaidi ya kashfa na matusi juu!

Una chuki iliyochupa mipaka! Hauna tofauti na Al- Shabbab na ISIS. Laiti kungelikuwa na makundi yanayoshambulia Uislam kwa kumwaga damu zao hapa Tz si ajabu ungelikuwemo.

We ni waliyyu sheytwani! Na hii khiyana unayoifanya ndani ya Jf ya kusambaza chuki kuwa makini ni mwenendo mbaya huo utaenda motoni. Hata atheists hawana chuki kama yako.

Uislam hauruhusu kuingia kwenye masuala yoyote bila ya dalili(facts) na haukuruhusu kutoka kwenye masuala yoyote bila ya dalili. Uislam unasema "Al ilm qablal qaul wal amal" Elimu ndiyo itangulie mbele kabla ya kunena na kutenda.

Na uzuri Uislam una marejeo yake na wala hayafichikani.

Hawa ndiyo Maimam wa mufassiruna wa Qur'an.

Imam Suyutwi, Imam Baydhwai, Imam ibn Jariri Twabarii na Imam Qurtubii. Hatuhutaji mawazo yako na aya za kuunganisha.

Katika hao Maimam tuambie ni Imam yupi aliyefasiri hivyo! Na hizo aya jinsi alivyozifasiri, na tuwekee kurasa nzima na ni kurasa namba ngapi na hicho kitabu.

Mnisamehe wana-Jf kwa kutoka nje ya Uzi.
 
Wewe unaonekana ni mgeni kwa huyo jamaa! Ingia kwenye profile yake halafu angalia hizo screenshots kaanza kuzi-post lini! Sasa hivi inawezekana kweli mtu yule yule zaidi ya mwaka anauliza kitu kile kile?


Sawa mkuu, lakini kupitia yeye watu wengine wenye hamu ya kujua kama nilivyo mimi tunaweza kupata ukweli hivyo huyo siyo mtu wa kumuacha bure pindi anapoleta "shutuma" kwani shutuma zisipojibiwa zinaweza kudhaniwa ni ukweli.

Pia tukumbuke hata zama za mtume (saw) walikuwepo akina Abu Jahali wakimpinga, leo watu kama huyo jamaa ndio akina Abu jahali wa zama hizi. Lazima wajibiwe kila wanapoleta shutuma zao dhidi ya Uislamu.

Mimi kwa maoni yangu hizo aya alizoleta zinaeleweka zinalenga kitu gani "straight forward".
 
Sawa mkuu, lakini kupitia yeye watu wengine wenye hamu ya kujua kama nilivyo mimi tunaweza kupata ukweli hivyo huyo siyo mtu wa kumuacha bure pindi anapoleta "shutuma" kwani shutuma zisipojibiwa zinaweza kudhaniwa ni ukweli.

Pia tukumbuke hata zama za mtume (saw) walikuwepo akina Abu Jahali wakimpinga, leo watu kama huyo jamaa ndio akina Abu jahali wa zama hizi. Lazima wajibiwe kila wanapoleta shutuma zao dhidi ya Uislamu.

Mimi kwa maoni yangu hizo aya alizoleta zinaeleweka zinalenga kitu gani "straight forward".
Tatizo sio kupinga ndugu yangu! As long as kuna imani tofauti kupinga hakukwepeki! Kitu ambacho sikipendi kuhusu huyu jamaa ni posts zake za kukashifu! Hivyo vi-screenshot vyake amekuwa akivirudia virudia miaka nenda rudi! Ina maana muda wote huo hajajibiwa tu?

Binafsi sio malaika, nina kiwango changu cha ustahimilivu! Nikiendelea ku-entertain posts zake, ina maana ataendelea kuni-quote kwa staili yake ile ile ya kukashifu! What next?! Ina maana nikishindwa kuvumilia kashifa zake nami nitalazimika nianze kukashifu Ukristo; jambo ambalo silitaki! Silitaki kwa sababu kuna Wakristo wengi sana wanaoheshimu imani za wengine! Siwezi kuwakosea wote kwa hoja kwamba nikimjibu watanufaika wengine; kwa sababu, kama kujibiwa yeye kutawanufaisha wengine, tayari keshajibiwa sana hata kwenye huu uzi! Sasa anataka nini zaidi kama sio kuleteana majaribu ya kishetani?

Kama amemshindwa kuelewa kupitia zaidi ya post 500 alizouliza jambo lile lile, katu hatakaa aje kuelewa kwa sababu hana hiyo shida!!!
 
Sijapatapo kuona ukichangia kwenye Uzi wa namna yoyote isipokuwa Uzi unaohusisha masuala ya Dini ya Uislam. Huchangii zaidi ya kashfa na matusi juu!
Na ukweli wenyewe ndio huo, halafu hapa anajifanya ku-play innocent guy mwenye nia ya kuelimishwa!
 
Uzi huu unahusu waislamu 50 kupoteza maisha na 50 wengine kujeruhiwa kwenye shambulio wakiwa msikitini katika salaa ya ijumaa! Nina sikitika sana baadala ya kutoa ujumbe wa rambirambi, watu wamejitokeza kukashifu, kukejeli na kudhihaki dini ya waliopoteza maisha bila ya hatia! PATHETIC!!!!!!
 
Tatizo sio kupinga ndugu yangu! As long as kuna imani tofauti kupinga hakukwepeki! Kitu ambacho sikipendi kuhusu huyu jamaa ni posts zake za kukashifu! Hivyo vi-screenshot vyake amekuwa akivirudia virudia miaka nenda rudi! Ina maana muda wote huo hajajibiwa tu?

Binafsi sio malaika, nina kiwango changu cha ustahimilivu! Nikiendelea ku-entertain posts zake, ina maana ataendelea kuni-quote kwa staili yake ile ile ya kukashifu! What next?! Ina maana nikishindwa kuvumilia kashifa zake nami nitalazimika nianze kukashifu Ukristo; jambo ambalo silitaki! Silitaki kwa sababu kuna Wakristo wengi sana wanaoheshimu imani za wengine! Siwezi kuwakosea wote kwa hoja kwamba nikimjibu watanufaika wengine; kwa sababu, kama kujibiwa yeye kutawanufaisha wengine, tayari keshajibiwa sana hata kwenye huu uzi! Sasa anataka nini zaidi kama sio kuleteana majaribu ya kishetani?

Kama amemshindwa kuelewa kupitia zaidi ya post 500 alizouliza jambo lile lile, katu hatakaa aje kuelewa kwa sababu hana hiyo shida!!!


Asante ndugu yangu, hata hivyo mimi binafsi nikipata wasaa nitajaribu kumjibu kwa faida ya wengine pia, halafu nitaangalia reaction yake thereof.,🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Asante ndugu yangu, hata hivyo mimi binafsi nikipata wasaa nitajaribu kumjibu kwa faida ya wengine pia, halafu nitaangalia reaction yake thereof.,🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Itakuwa vema, lakini hapo kwenye RED, umeshamjengea mazingira ya kuigiza lakini najua itakuwa ni uigizaji wa muda tu!! Si unaona kwenye posts zake za sasa anavyojifanya ku-play innocence!!
 
deen mwanzilishi sio imamu ilaha Allah! Tuachane na Sherehe za maimamu! Ndipo ninasimamia kwamba allah katoa HUKUMU gani kwa walawiti??

Sent using Jamii Forums mobile app
Store yako ya kuhoji imepungukiwa na ufahamu kuhusu Uislam. Ushahidi juu ya hili ni quote yako:

"deen mwanzilishi sio imamu ilaha Allah! Tuachane na Sherehe za maimamu! Ndipo ninasimamia kwamba allah katoa HUKUMU gani kwa walawiti??"

Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake anasema:

Wana wa zuoni ni warithi wa Mitume. Hawajarithi Dinari wala Dirham( kwa maana mali/utajiri). Bali wamerithi elimu.

Huyu ni Mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake. Ambaye haongei kwa matamanio yake bali ni wahyi(ufunuo) kutoka kwa Mungu. Mtume ambaye Qur'an (furqan) imeshuka kwake, na akafundisha aya kwa aya maudhui yake ni yapi.

Hii elimu ya Mtume wameirithi wana wa zuoni. Kutoka kwa Mungu kupitia kwa Roho Malaika Jibril amani ya Mungu iwe juu yake kuja kwa Mtume Muhammad rehma na amani iwe juu yake. Kutoka kwa Mtume kuja kwa maswahaba, kutoka kwa maswahaba kuja kwa wale waliyosoma kupitia kwa maswahaba. Na ndivyo urithi ulivyoshuka mpaka karne yetu hii wapo waliyojitolea kuirithi hii elimu.

Ndiyo maana kauli nyengine Mtume akasema;

Huruma/rehma ya Mungu iwe juu ya wale warithi wangu. Hao warithi ni akina nani? Maswahaba wakamuuliza! Mtume akawajibu; ni wale watakao huisha na watakaofundisha Sunnah yangu baada ya kuondoka kwangu.

Kwa hiyo, ukitaka kumuelewa Mtume waelewe wana wa zuoni, ndiye waliyemrithi Mtume. Ndiyo maana nikakuuliza huo ufasiri wako wa Qur'an umeutolea kwa Mfasiri yupi? Kwa sababu elimu imerithiwa! Tunataka kujua aliyerithi hiyo elimu unayotumia wewe kufasiri Qur'an ni nani?

Hakuna aliyesema waanzilishi wa Dini ni Maimam. Dini ni ya Allah sub' hanahu wataala. Maimam ni Scholars( wana wa zuoni) wa Kiislam. Hao Ma' imam niliyokutajia si ma' imam wa Msikiti bali ni wa ummah.
 
Wewe una ugonjwa wa akili sema tu hujijui kwa sababu ungekuwa na akili timamu usingekuwa unahangaika kuweka ma-screenshots ambayo ni irrelevant to the subject!!! Na inaonesha wazi kwamba upo frustrated kwahiyo hizo frustration zako peleka kwa wengine kwa sababu I don't have time to argue with psychopath! Kwa ujumbe wangu huu, I would appreciate if you stop quoting me kwa sababu na-argue na watu wenye akili timamu na sio watu wa aina yako!

Usimjibu.. achana nae huyu mwehu na huyo mpumbavu mwenzie, wasikuchoshe!! hawana kazi za kufanya zaidi ya kuchafua Uislam kwenye JF as if waliskia hapa JF ndo mskitini au ndio kwenye KAABA kwamba watu wakiskia propaganda zao wataacha Dini yao ya HAKI na kuwafata wao kwenye Ukafiri na Ulawiti.
 
Usimjibu.. achana nae huyu mwehu na huyo mpumbavu mwenzie, wasikuchoshe!! hawana kazi za kufanya zaidi ya kuchafua Uislam kwenye JF as if waliskia hapa JF ndo mskitini au ndio kwenye KAABA kwamba watu wakiskia propaganda zao wataacha Dini yao ya HAKI na kuwafata wao kwenye Ukafiri na Ulawiti.
Huyo Mpuuzi nishaachana nae kitambo sana, na nimemwambia wazi kwamba he's not the type ya watu ninaopenda kujadiliana nao!
 


Hili swala halihusiani na hiyo term "islamaphobia" popote.
Kwanza hii term ni fictious haipo!.

huyu msemaji anafanya makosa ya makusudi kwa kubatiza jina "CRUSADER" kikundi hicho KWAKUA TU KINA JINA LA 'Templar'. wakati huyo Muuaji ni 'atheist.'

Anajua akitumia jina "Crusader" litawezesha kuendesha ajenda anayoitaka ya kulisha uchungu na chuki aliyonayo moyoni mwake.

Angekua na hekima angetumia term
"Xenophobia".
Kwa maana madai yote ya muuaji yame sterm kwenye "Fear of 'Immigrants."

Sometimes mambo ya kitaalamu yajibiwe na WATAALAMU.

Sio watu wenye Biases za Dini zao.
Anachofanya huyu jamaa ni kupika chuki na kuimarisha uchungu kwenye mioyo ya watu.

Secular education inahitajika sana. Ni janga kua na wasemaji wenye fikra hasi.

Hapa ndipo unanishangaza sana Bibie kwa kubandika hizi yutyubu za aina hii.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni planned issue by whites intelligences. Wazungu hawawataki waislamu na misimamo yao katika whites countries.
'Islams brings underdevelopment'
'Islams brings hate and fear, lack of freedom'
'Islam is not a religion for people...'
Nakubaliana na wewe 100%,hiyo ni serikali imehusika Kabisa kutoa onyo Kwa wavaa pedo waikimbie Newzealand

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwà tu hao Waislam, si magaidi tu. Wana faida gani kuwepo?

Sioni tatizo hapo, tena hao waliouawa na majeruhi ni kidogo sana. Iltakiwa wafanyiwe kama wanavyofanyiwa Iraq au Afghanistan. Hao raha ni kuwauwa kwa maelfu.
Dada yangu hebu punguza mhemko wa kidini, kwani kuna makundi mangapi ya waislamu yamechinja watu Syria, tena wanajiita Islamic state,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom