50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

50/50 ndiyo chanzo cha ushoga duniani

gromyko

Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
64
Reaction score
90
Maisha ya mwanadamu kiasili ni utashi ambao Mungu ameuweka katika nafsi za Kila mmoja wetu pamoja na viumbe hai wote.

Hali hii inajumuisha mifumo ya utawala na uongozi kupitika mila na desturi za jamii husika kulingana na mazingira yake.

Mwanadamu ameumbwa kwa jinsi(sex) mbili kuu ambazo ni mwanaume na mwanamke,Kila jinsi Ina namna inavyopokea changamoto za mazingira na namna ya kuzikabili.

Mwanaume kiasili ni mtawala kulingana na maumbile, fikra na utashi mwanamke yeye mlezi wa familia,mtekelezaji wa majukumu ya kila siku ya kiuchumi.

Kwa hiyo baada tu ya wanadamu kuanza kubadili asili ya utawala na uongozi katika familia na kuanza kupigania haki za binadamu ndipo mwanadamu akaanza kutoka kwenye utaratibu wa maadili ya asili na kuanza kuwapa wanawake haki sawa na wanaume zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kidini na ndipo wanawake wakaacha jukumu lao la msingi la malezi na hivyo kuwafanya watoto kulelewa ovyo ovyo, wanaume kudharauriwa na nguvu ya malezi kupungua na hivyo kusababisha watoto wa kiume na wakike kuingizwa kwenye uchafu kwa kukosa usimamizi na ufuatiliaji wa karibu.

Hali hii pia imesababisha watoto wadogo kuanzia miaka miwili kupelekwa shule za bweni na wanaobaki nyumbani kuangalia vipindi vya hovyo ambavyo vinachochea ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo. Kumbukeni kuwa jamii zetu kabla ya mambo ya 50/50 hakukuwa na vitendo vya ushoga hata jamii ambazo zinakumbatia mila na desturi kama wamasai, wabarbaigh na wengineo.

Natoa hoja.
 
Maisha ya mwanadamu kiasili ni utashi ambao Mungu ameuweka katika nafsi za Kila mmoja wetu pamoja na viumbe hai wote.

Hali hii inajumuisha mifumo ya utawala na uongozi kupitika mila na desturi za jamii husika kulingana na mazingira yake.

Mwanadamu ameumbwa kwa jinsi(sex) mbili kuu ambazo ni mwanaume na mwanamke,Kila jinsi Ina namna inavyopokea changamoto za mazingira na namna ya kuzikabili.

Mwanaume kiasili ni mtawala kulingana na maumbile,fikra na utashi mwanamke yeye mlezi wa familia,mtekelezaji wa majukumu ya kila siku ya kiuchumi.

Hali hii pia imesababisha watoto wadogo kuanzia miaka miwili kupelekwa shule za bweni na wanaobaki nyumbani kuangalia vipindi vya hovyo ambavyo vinachochea ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo.Kumbukeni kuwa jamii zetu kabla ya mambo ya 50/50 hakukuwa na vitendo vya ushoga hata jamii ambazo zinakumbatia mila na desturi kama wamasai,wabarbaigh na wengineo.

Natoa hoja.
Naomba kuuliza haya mambo yameanza miaka ipi?
 
Ushoga ulianza tangu enzi za Sodoma na Gomora, miaka na miaka, Sasa hivi dunia imekua kama kijiji, yaani dunia ipo kiganjani mwako ni wewe na Bando lako, ndio maana unaona kama vile Sasa hivi vitu viko exposed na vinasambaa kwa kasi, na vinapewa support na mataifa makubwa.
 
Mifano mizuri hiki kitu Katika nchi yetu kilionekana ni michezo ya watu wa PWANI.

Kwanini PWANI ? huku ndiko kulikopokea WAGENI toka nchi za mbali. Hawa ndo walioleta mambo ya tabia zao toka mbali ikiwemo MWANAUME kumuingilia MWANAUME.

Huku kwetu ndo maana walau kuna nafuu ya kukemea hilo jambo lkn huko kwa WAZUNGU/WAARABU kwao ni miongoni mwa utamaduni wao kwakuwa Dunia ni kijiji maeneo yatakayoendelaa kukwepa kadhia hii ni WAMANG'ATI pekee.

Tumeupenda ustaarabu wa wageni basi tuendelee atakaye salimika yy na kizazi chake ni suala la kumshukuru MUNGU.
 
Ushoga ulianza tangu enzi za sodoma na gomora, miaka na miaka, Sasa hivi dunia imekua kama kijiji, yaani dunia ipo kiganjani mwako ni wewe na Bando lako, ndio maana unaona kama vile Sasa hivi vitu viko exposed na vinasambaa kwa kasi, na vinapewa support na mataifa makubwa.
Ni kweli tangu enzi za sodoma na hali za maisha zilifikia ustaarabu wa sasa na matokeo lazima yafanane.Biblia inasema hivyo katika Luka 17
Screenshot_20240102-191234~2.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20240102-191234.jpg
    Screenshot_20240102-191234.jpg
    57.8 KB · Views: 12
Maisha ya mwanadamu kiasili ni utashi ambao Mungu ameuweka katika nafsi za Kila mmoja wetu pamoja na viumbe hai wote.

Hali hii inajumuisha mifumo ya utawala na uongozi kupitika mila na desturi za jamii husika kulingana na mazingira yake.

Mwanadamu ameumbwa kwa jinsi(sex) mbili kuu ambazo ni mwanaume na mwanamke,Kila jinsi Ina namna inavyopokea changamoto za mazingira na namna ya kuzikabili.

Mwanaume kiasili ni mtawala kulingana na maumbile,fikra na utashi mwanamke yeye mlezi wa familia,mtekelezaji wa majukumu ya kila siku ya kiuchumi.

Kwa hiyo baada tu ya wanadamu kuanza kubadili asili ya utawala na uongozi katika familia na kuanza kupigania haki za binadamu ndipo mwanadamu akaanza kutoka kwenye utaratibu wa maadili ya asili na kuanza kuwapa wanawake haki sawa na wanaume zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kidini na ndipo wanawake wakaacha jukumu lao la msingi la malezi na hivyo kuwafanya watoto kulelewa ovyo ovyo, wanaume kudharauriwa na nguvu ya malezi kupungua na hivyo kusababisha watoto wa kiume na wakike kuingizwa kwenye uchafu kwa kukosa usimamizi na ufuatiliaji wa karibu.

Hali hii pia imesababisha watoto wadogo kuanzia miaka miwili kupelekwa shule za bweni na wanaobaki nyumbani kuangalia vipindi vya hovyo ambavyo vinachochea ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo.Kumbukeni kuwa jamii zetu kabla ya mambo ya 50/50 hakukuwa na vitendo vya ushoga hata jamii ambazo zinakumbatia mila na desturi kama wamasai,wabarbaigh na wengineo.

Natoa hoja.
Watakaokuelewa ni sisi WACHACHE
 
Ah haya mambo bhana yanapaishwa na mitandao tu huku wazungu wakitembea kifua mbele kama wachochezi wakubwa wa kuenea kwa habari za hawa mashoga.

Ni kweli haya mambo hata miaka ya nyuma huko yalikuwepo lakini ukitazama kwa jamii yetu kubwa ,haya mambo yalikuwa wazi sana kwenye mikoa mikubwa mfano Dar es Salaam.

Binafsi nimesoma Wailes pale Temeke, na katika kumbukumbu zangu nikiwa standard one ,nilishuhudia jamaa mmoja mitaa ya kwa Azizi Ali pale a anataniwa sana na wahuni ,wakimuita PUNGAAA HILOOOOO!

KIPINDI HICHO HAYA MAUCHAFU YALIKUWA YAPO LAKINI YALIZIMWA KIDOGO NA UBOVU WA TEKNOLOJIA HASA HAPA TANZANIA.

Sasa yamekuwa wazi mno now days kiasi kwamba watu wanafikiri ni stori mpya ,kumbe ni stori zilezile za miaka hiyo ya zamani . Stori ambazo zilizimwa na teknolojia duni ya mawasiliano.

Ingawa kwa asilimia chache hoja ya mwana jf mwenzetu ya 50/50 ina simama kama muendelezo wa visababishi vikubwa ambavyo bado vinachangiwa pakubwa na maendeleo ya teknolojia.
 
Hali hii pia imesababisha watoto wadogo kuanzia miaka miwili kupelekwa shule za bweni na wanaobaki nyumbani kuangalia vipindi vya hovyo ambavyo vinachochea ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo. Kumbukeni kuwa jamii zetu kabla ya mambo ya 50/50 hakukuwa na vitendo vya ushoga hata jamii ambazo zinakumbatia mila na desturi kama wamasai, wabarbaigh na wengineo.

Natoa hoja.
KWA NCHI ZA MAGHARIBI,
USHOGA UNATOKANA NA SINGLE PARENTING NA DIVORCE PARENTS.
KWA SASA 50/50 NDIO KIWANDA KIKUBWA CHA KUZALISHA MASHOGA.

DUNIA NA ITOE ELIMU YA KUWARIDHISHA HAO MASHOGA KAMA INAFYO FANYA KWA WANAWAKE
 
Back
Top Bottom