50,000,000 Tsh

Unakusidia kukumbusha ile ahadi ya Tsh 50,000,000 kwa kila kijiji au ?
 
hahahaaaaa nimeipenda staili ya mtoa mada, yeye hataki yale matusi kutoka kwa magufuli fangirls, kwa hiyo akaweka tu hivyo
 
Hahaaah hamsahau tuuu???hiyo ahadi ni kama 'Maisha bora kwa kila Mtanzania'...Ishakula kwetu!
 
Back
Top Bottom