Na wewe umechemka!
No, it's boring!! (usimwambie mwenyewe lakini loh)
Kumbe umeelewa!! Mie mwenzio nitoka bure bilashi
Aaaaah acha masihara sista, mambo yenu kabisa hayo
halafu sista mbona hukunitumia sasa? au ndo ulimaliza vile!!!
Oooh! Nilisahau mwenzangu na nishafuta kila kitu kule.
Mmh hii lugha ya malkia sista ni shidaaa, ngoja tumsubirie cute b atutafsirie bana
Uwiiiiii sijaambulia chochote zaidi ya kuumwa na kichwa.
Kweli kanikomesha lol sijui nani atutafsirie.
Sasa dikishonari yangu na wewe leo umechemka unategemea nini sasa?? Ukute katutukana alafu tunajichetua tu hapa, mito naye alitoka kapa akajifanya hamna point, mweeeh hebu twende kwa ras simba mama.
Sasa dikishonari yangu na wewe leo umechemka unategemea nini sasa?? Ukute katutukana alafu tunajichetua tu hapa, mito naye alitoka kapa akajifanya hamna point, mweeeh hebu twende kwa ras simba mama.
Duh hatari!! kumbe na wewe maimuna kama mimi na atoto
Wanasema ukishindwa kusoma angalia picha sasa mimi kwa picha nishaelewa.
Ni mwanaume na mwanamke wamelala itakuwa mtoa uzi anawasema kuwa wanafanya tabia mbaya.
Alafu naona orgasms sijui organizim sijui ndo nini duuu
Mweeeeeh!! Kweli ualimu wito, sasa ndio umenielezea ukamaliza hivyo!!
Ndioo hahahaaaa