Mb 8 per second huo ni udhaifu mkubwa mkuu...kumbuka 4g inatakiwa iende hadi 300 mb per secondHuenda kwako tu
Mm mbona inagonga hadi mb 8 kwa sekunde na ndio nipo huku kijijin kabisa yaani inakimbiza kuliko hata Tigo na Voda
Kiufup hakuna mtandao ulio slow au fasta ila inategemeana na eneo ulipo
Naiona bora hata hyo 8mb ya halotel Tigo ikizidi sana ni 3mb per second Voda ndio kabisaaa hata 4G hawana ni 3G na hapo spid ikizid sana ni 600kb per secondMb 8 per second huo ni udhaifu mkubwa mkuu...kumbuka 4g inatakiwa iende hadi 300 mb per second
Nyingine anatumia kuombea pesa za luku na bandoMkuu kumbe una app mbili za Facebook