48 eggs incubator zinauzwa

48 eggs incubator zinauzwa

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
612
Automatic incubator zenye uwezo wa kuengua mayai 48 kwa wakati mmoja zinauzwa!incubator ziko Dar es salaam,tunatoa 1 year warranty,ni Grade A,bei ni Tshs 500,000/=. Kwa mwenye kuhitaji apige namba 0784784634 au anaweza ni PM pia!
 
Inatumia power ipi?,umeme au mafuta ya taa?
Vipi being zake unauzaje na sie wa mikoan utatufikishia?
 
Back
Top Bottom