Africa should provide neccessary and silufficient conditions to attract these multinational companies to have them produce here.
Mhhh! human resource is the only cloud in the horizon!
Other flaws like energy are curable.
Ooh yeahChina is already number one.
Until early this year America was a dumping place for tonnes of Chinese produced steel.
America is the world massive Steel producer buts its prices declined for 35% in 2015.
America's Arcelor Mittal which is the world's giant Steel producer lost $ 8 Billion and The U.S. Steel Corp lost $ 1.5 Billion .
All these firms are based in the U.S!
Lost in its own quagmire.
In China ownership is Capitalist but distribution is Communist. But still there are many elements of a planned economy1)Mkuu mchina ni mshenzi we acha tu tena kwenye hili swala la Steel,US anagombana naye lakini hamuwezi.Anachofanya mchina Ni Overcapacity production ya steel,so China has flooded the world market with steel na zinanunuliwa ile mbaya tena na bei yake ni nzuri zaidi with gud quality.US and Europe sasa hivi wanashindwa kuuzwa Steel zao kabisa.
Overcapacity production siyo tu kwa Steel and other products,kumbuka sasa hivi China ndiyo most Industrialized in the world.
2)Umesahau kitu kimoja mkuu number of billionaires are growing in Asia mostly China,siku si nyingi China will have more Billionaires than US tena ni muda mfupi sana umebaki.
3)China trades more with US allies.Ukifuatilia US allies utakuta China ndiyo largest trading partner.Ni mshenzi haswa.
4)China is No 1 GLOBAL TRADER,mtu huyu ni hatari sana.China trades more mpaka na zile nchi ambazo ni adui zake.
5)Mkuu mchina alishampita US economically siku nyingi sana.Unajua tatizo kubwa ni kwamba wanaoandaa WORLD ECONOMY REPORT NI WORLD BANK NA IMF,NA HIZI FINANCIAL INSTITUTIONS UKIANGALIA US NDIYO LARGEST SHAREHOLDER KWA HIYO ANABEBWA TU REPORT ZIKIANDALIWA.
NDIYO MAANA UMEONA CHINA KAANZISHA BANK YAKE YA AIIB PAMOJA NA ILE BANK YA BRICS.Dunia inajibalance vizuri sana sasa hivi itafika point US hatobebeka,the economy will automatically collapse.
6)Ujue China ni mshenzi,yeye anasema anafuaata communist policy Ila kiukweli ni CAPITALIST policy.It is so difficult to import in China but when it comes to exporting wanaongoza dunia yote(protectionism policy).
TIME IMENIBANA WILL COMMENT MORE LATER.
Kwenye maendeleo na uchumi bado sana, tena wakikaa vibaya Japan anarudi namba mbili maana tsunami iliharibu uchumi wa Japan
Wacha washindane huko huko
Ila huku kwetu watatumaliza
Kwa hiyo Mchina amekuwa wa pili kwasababu ya Tsunami ya Japan?
CHINA father!!!
CHINA father!!!
CHINA father!!!
Nadhan tunashindwa kutofautisha kati ya economic growth na economic development, China hawez kuwa threat kwa America for nth decades to come. Mmarekan anaweza kufikiria kidogo UK na EU China bado sana. Me huwa nna reference ndogo sana, hiv ulishawahi kumuona mmarekani, mwingereza au mzungu yeyote ni machinga ktk nchi za Africa? kama unadhani hujawahi au kama unadhani wapo wachache basi hiyo ndo real economic difference ya haya mataifa mawili.
Ili mmarekani aweze kuuza bidhaa zake kwenye mataifa masikin aliona afanye diversification, kwa maana ya investment na production overseas na akaona emerging economy yenye comparative advantages ni China.
Investment kubwa iliyoko China ni foreign direct investment, na wameshagundua na sasaiv wanaliondoa hilo tatizo, kama umefatilia vizuri uchumi wa China unaporomoka vibaya sana na ndio pia hiz shocks tunazoanza kuziona. Marekani ni baba lao huwezi kumlinganisha na nyau yoyote duniani hapa, hata waingereza na akili zao nyingi sana wanalijua hilo.
Tuendelee kuisifu china sababu ndo mshirika wa ccm, ila kiama kinakuja soon.
Huwezi kucheza na mmarekani dunia hii, tena nchi yenyewe China, kidogo zingekuwa nchi za ulaya.
Yan kama haya mambo huwezi kuyafanyia analysis vizuri jaribu kuchukua mifano halisi ya hapa Africa, yaan ya South Africa na Nigeria, hiv kwa akili ndogo kabisa ya form four unaweza kulinganisha hiz nchi mbili? japokuwa statistics zinaonesha Nigeria ina growth kubwa.
Umeanza vizuri sana lakini mwishoni umeharibu ulivyoanza kuwa personal.Nadhan tunashindwa kutofautisha kati ya economic growth na economic development, China hawez kuwa threat kwa America for nth decades to come. Mmarekan anaweza kufikiria kidogo UK na EU China bado sana. Me huwa nna reference ndogo sana, hiv ulishawahi kumuona mmarekani, mwingereza au mzungu yeyote ni machinga ktk nchi za Africa? kama unadhani hujawahi au kama unadhani wapo wachache basi hiyo ndo real economic difference ya haya mataifa mawili.
Ili mmarekani aweze kuuza bidhaa zake kwenye mataifa masikin aliona afanye diversification, kwa maana ya investment na production overseas na akaona emerging economy yenye comparative advantages ni China.
Investment kubwa iliyoko China ni foreign direct investment, na wameshagundua na sasaiv wanaliondoa hilo tatizo, kama umefatilia vizuri uchumi wa China unaporomoka vibaya sana na ndio pia hiz shocks tunazoanza kuziona. Marekani ni baba lao huwezi kumlinganisha na nyau yoyote duniani hapa, hata waingereza na akili zao nyingi sana wanalijua hilo.
Tuendelee kuisifu china sababu ndo mshirika wa ccm, ila kiama kinakuja soon.
Huwezi kucheza na mmarekani dunia hii, tena nchi yenyewe China, kidogo zingekuwa nchi za ulaya.
Yan kama haya mambo huwezi kuyafanyia analysis vizuri jaribu kuchukua mifano halisi ya hapa Africa, yaan ya South Africa na Nigeria, hiv kwa akili ndogo kabisa ya form four unaweza kulinganisha hiz nchi mbili? japokuwa statistics zinaonesha Nigeria ina growth kubwa.
Umeanza vizuri sana lakini mwishoni umeharibu ulivyoanza kuwa personal.
Wewe una uhakika Mimi ni wa form four???
Please maintain your dignity kwasababu huwa nakuheshimu sana na wala sipendi Mimi na wewe tuanze malumbano yasiyo na msingi na kupoteza maana nzima ya mjadala.
Haya tukirudi kwenye mada, the whole essence of comparative advantage is to give every nation a fair chance in international trade regardless of their level of economy.
Hivi huoini kwamba foreign direct investment ndiyo njia kubwa ya kufanya diversification of economy?
Tena umeshindwa kuangalia kwamba hata Marekani mwenyewe uchumi wake umeinuka kupitia Foreign direct investment.
Huoni nchi yoyote inaporuhusu FDI it makes comparative advantage in motion than when she just trade by herself?
Unataka China afanye yeye mwenyewe bila FDI ili kuwe kuna overspecialization?
Hujui hiki ni moja ya vitu vilivyoumiza hata uchumi wa Tanzania kwa miaka zaidi ya 40?
Tena ni moja ya chanzo kikubwa cha economic depression?
Bottom line is:
Every country has a comparative advantage.
Every giant economy depends either on foreign direct investment or multinationals and international monopolies.
America depends on European Investment for both economic and technological advancements.
Haya kama wewe unayejua uchumi ulitegemewa kuyajua. Jaribu kuangalia nini kiliabgusha uchumi wa Marekani mwaka 1929-33.
Halafu uone kama utabaki kuwa na hii mindset