kwani huyo alokushawishi we unamuonaje....ni millionea? ahahah
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.
Tumia akili ndogo tu.
Jiulize na ujipe majibu kwamba:
Ushawahi kuona sehemu yenye pesa watu wanaitana?
Je anayekushawishi yeye ana mamilioni?
Hizo ni akili zinazotumiwa sana na waganga wa kienyeji..atakudanganya anakutengenezea utajiri wakati yeye ni maskini wa kutupwa.
Tamaa mbaya.
MmmhNi vyema pia kuelewa wengi wanaofanya hii biashara hawajui jinsi ya kufanya kwani biashara HUTAKIWI KUUZA bali walio wengi wanauza. Hilo ni kosa. Forever si biashara ya kuuza. Ningekushauri jifunze kwanza inavyofanywa nawe ukipenda karibu.
Hii biashara ni nzuri sana,mimi binafsi nipo na kwa sasa naona karibu ntafanikiwa !Wazee,
Kuna hii kampuni ya Forever Living, inadeal na products kama lotion, juice, dawa za miswaki. Kuna mtu yupo humo ananishawishi kujoin the deal. Kwamba you can make milions of money easily.
Kama kuna mtu ashakuwa milionea through this company anitonye.