4 Bedrooms House for sale at Boko

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,072
304
A single story bungalow, has got four bedrooms, living area, dining, well fenced and has two access roads, in a quiet secluded area of Boko. Price 150mil Tshs. For more properties visi www.kitomai.com . To view call 0784225000
2017-02-13-PHOTO-00000002.jpg
 
Mkuu unamaanisha one storey? A bungalow is a bungalow.
One storey ni nyumba ya ghorofa moja, bungalow ni nyumba isio ya ghorofa.
Acha kujitia ujuaji, unaelewa maana ya storey?? wala hajakosea! Story ni US while UK wanatumia Storey which is simply the level of building!
 
Kwahio unaweza kusema three storey bungalow?
 
Acha kujitia ujuaji, unaelewa maana ya storey?? wala hajakosea! Story ni US while UK wanatumia Storey which is simply the level of building!
Mdau hajamaanisha lugha imekosewa, amemaanisha kwanini imeitwa single storey ambayo ni sawa na kusema ghorofa moja wakati nyumba ni bangaloo siyo ghorofa.
 
Kuna watu always wako negative. Ngoja aje aseme kama hii ni single storey bungalow je kuna three storey bungalow?
 
Hicho ndicho nilichomrekebisha... storey (au story in American etymology) haimaanishi ghorofa bali level ya nyumba. kwa hiyo, nyumba isiyo na ghorofa inaitwa single storey, yenye ghorofa moja inaitwa double storey, etc!
 
Kuna watu always wako negative. Ngoja aje aseme kama hii ni single storey bungalow je kuna three storey bungalow?
Nyumba isiyo na ghorofa inaitwa single storey house. That's the point!!
Hiyo kuita bungalow ni kuongeza nakshi za biashara tu!!
 
Mkuu, one storey au single storey ni nyumba yenye one extra floor above ground floor.
Bungalow sio single storey or one storey.

Ndio maana nikakuuliza unaweza kuita double storey bungalow? Maanake hapa tumeambiwa single storey bungalow.
 
Mkuu Kitomai naomba unisaidie jambo moja tu!! Hivi kwanini posting zako ZOTE unatumia Kiingereza?! Ni kwamba unaamini nyumba unazo-deal nazo akina Bashite hatuziwezi; au?! JF ni 99% Swahili Forums... hivi hudhani 99% ya wanaotembelea JF wanakifahamu Kiswahili?!

Ingekuwa ni posts za kawaida ningeona poa tu lakini hii ni biashara jombaa... kwenye biashara hutakiwi kuweka barrier ya aina yoyote ile ingawaje watangazaji wa JF matangazo yao ni ma-barriers mwanzo mwisho!!!
 
Wote mpo sahihi kutegemeana na mazingira au aina ya Kiingereza kinachotumika! For US (or at least US English), mtu akikuambia single storey ni jengo lisilo na ghorofa... no additional floor above the ground floor wakati for UK, (or British English), single storey ni jengo la ghorofa moja!!

Kwa maoni yangu, US wapo sahihi zaidi kwa sababu haya mambo ya jengo la ghorofa moja kuita single storey imetokana na first floor kuiita ground floor!!
 
Mkuu Kitomai naomba unisaidie jambo moja tu!! Hivi kwanini posting zako ZOTE unatumia Kiingereza?! Ni kwamba unaamini nyumba unazo-deal nazo akina Bashite hatuziwezi; au?! JF ni 99% Swahili Forums... hivi hudhani 99% ya wanaotembelea JF wanakifahamu Kiswahili?!

Ingekuwa ni posts za kawaida ningeona poa tu lakini hii ni biashara jombaa... kwenye biashara hutakiwi kuweka barrier ya aina yoyote ile ingawaje watangazaji wa JF matangazo yao ni ma-barriers mwanzo mwisho!!!
Labda imani yake ni kuwa wenye hela ni wale wanaojua kimombo.
 
chige twende na definition ya US, single storey ni single storey haina ghorofa ambayo ni bungalow, sasa mtu anasemaje single storey bungalow?! Ni sawa na barabara ya nyerere road.

Au kuna double storey bungalow?
 
Technically, YES bungalow ni single storey! Lakini tafakari picha zifuatazo:

Bungalow1.png

Bungalow2.png

From American perspective, zote hizo ni single storey! However, kutokana na front extension ya picha ya juu; hiyo ndo ina-qualify kuitwa single storey bungalow na sio picha ya pili!!!
 
Inaitwa single storey kwasababu ina extra flow above ground floor.

bungalow1-png.481512
 
Inaitwa single storey kwasababu ina extra flow above ground floor.
Picha imelenga kuelezea tofauti kati ya single storey bungalow na just single storey! Btw, hivi hiyo unaweza kuita ni extra floor?! Tuache hizi lugha za wakoloni na tutumie ya kwetu! Ukiwa na nyumba kama hiyo unaweza kusema una nyumba ya ghorofa moja?!

Ninachoona hapo ni mbwembwe za ma-architects ndo maana wamewekewa speed governor za building economists ingawaje pia hicho kinachoonekana kama first floor imewekwa ili ku-maximize ventilation.
 
Mkuu unamaanisha one storey? A bungalow is a bungalow.
One storey ni nyumba ya ghorofa moja, bungalow ni nyumba isio ya ghorofa.

Amesema single storey......

Buildings other than dwelling houses, defines a single-storey building as: 'A building consisting of a ground storey only. (A separated part which consists of a ground storey only, with a roof to which access is only provided for repair or maintenance…)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom