Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Da,
mungu awanusuru matetemeko zaidi yasitokee
Pole....but hommie plan to comeback home bana ...haya ma-natural calamities yatawamaliza huko!
mmmh pole bwana but haya c ndio yameongelewa kwenye bible?correct me if am wrng
Yeah Hommie yaani hii kitu inanifanya wala nisifikirie twice kwa kweli i need start park my stuff kwenye container na kurudi home....i hope utanipa hifadhi aisee maana kale kanyumba pale wanging'ombe hakajaisha bado!....
.....yeah can count on me for hifadhi no P kabisa.....! nikiwa unreachable, u can check na Mr. Project 13/02....... !!!
Ila hiyo snow....duuh sijui mnaihandle vipi, jana nilikuwa na angalia Aljezeera....wanasema thickness inafika 42cm?....aisee hali ni mbaya can't imagine.....!
A Magnitude 4.3 earthquake Hits Northern Iillinois this morning...Oh yes i felt it@ 3.59AM (Just before my alarm went off so i can pray)....it was wierd feeling and i thought of people of Haiti how they went through it and i thought about my family and friends how they would start looking for me kama ingekuwa that worse...Thanks god we are still alive and talk about it and my house is still standing..Hopefully there is no after shock.
Pole sana BM, huwa nikiwa LA au SF saa zote nakuwa na wasiwasi kwamba ardhi inaweza kucheza na kuwa patashika nguo kuchanika. Sikujua kama Illinois nayo huwa inapata matetemeko ya ardhi. Inatisha sana kusema kweli, angalia kule Haiti inasemekana watu karibu 250,000 wamepoteza maisha yao na majeruhi chungu nzima ambao asilimia kubwa sasa hawana makazi.
About snow!...yaani tunai-hande kibishi tuu hivyo hivyo utafanya nini na kazi kama kawaida....the only thing wanachofunga ni shule tuu basi...ila watu wa East cost kama DC huko wakipata na snow kidogo makazini hawaendi huku midwest hakuna kitu kama hicho..you drive the car huku una sali maana you never know huwa magari yanaserereka sana and end up run into a ditch au ukapiga msele ukageuka ulipotoka....inabidi usiwe na haraka drive kama uansindikiza harusi au msiba..taratibu 10 miles an hour!...mwenye haraka muache apite
......Bora hayo masnow yanatokea huko nchi za watu wanakoweza pambana nayo kwa kiasi fulani kama kuweka maheater ofcn, ile migari ya kusafisha barabara etc....sipati picha hiyo snow ingekuwa inaanguka Dar vile.....ha!ha!ha!