3g ya vodacom mikoani

3g ya vodacom mikoani

ndosho

Member
Joined
May 25, 2012
Posts
14
Reaction score
2
Wakuu kuna mwenye details zozote za 3g ya vodacom kuendelea kuwekwa mikoani kibaha hapa bado tunahangaika na edge
 
Hapa Dar tu maeneo kibao hamna 3G. Bongo yetu bado saana
 
hata Airtel sio kila sehemu ni 3g, bundle sawa ila 3g inakuwa speed kuna baadhi ya sehemu voda wameweka speed ni ya ukweli sana
 
Niliwauliza tigo wakasema 3g yao inapatikana dar sehemu zote, mikoani ni kwenye mji tu so hapa voda itakuwa hivyo wa vijiji hata zantel kwa speed ya edge wako poa sana!
 
Back
Top Bottom