Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Sep 9, 2014 #1 Pata portable router ambayo unaweZa kusafiri nayo popote pale. Pia Ina Uwezo wa kuunganisha vifaa 10 at once. Pia Kama una smart TV ni nzuri kwani unaweZa ukaangalia YouTube kwa kutimia hii Router. Bila kusahau kwa wale WATUMIAJi wa receiver za IPTV na Qsat, hapa ni mwake. Zina Uwezo wa kusukuma hizo Machine pamoja na IP-Cameras pia. Karibuni. Price; 60,000/- tu bila Modem.
Pata portable router ambayo unaweZa kusafiri nayo popote pale. Pia Ina Uwezo wa kuunganisha vifaa 10 at once. Pia Kama una smart TV ni nzuri kwani unaweZa ukaangalia YouTube kwa kutimia hii Router. Bila kusahau kwa wale WATUMIAJi wa receiver za IPTV na Qsat, hapa ni mwake. Zina Uwezo wa kusukuma hizo Machine pamoja na IP-Cameras pia. Karibuni. Price; 60,000/- tu bila Modem.
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Aug 12, 2016 Thread starter #2 Karibuni, Bado zinapatikana.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,374 Reaction score 13,440 Aug 12, 2016 #3 Hazijashuka tu mkuu...toka 2014 tulegezee
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,374 Reaction score 13,440 Aug 12, 2016 #4 Mkuu mbona hujibu..legeza kidogo mi nna 50