3D paint: kuna watu wanavipaji

Hii kitu inanimaliziaga mbs zangu kule yuotube. Jamaa wanachora kwenye karatasi afu ukiangalia unaona kabisa kama uhalisia.

Najua kuchora ila hapo kwenye rangi nfia shida kuchanganya. Natumia pencel tu.
Hawa wanatumiaga rangi za maji naskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…