Adobe After Effect
Senior Member
- Dec 31, 2012
- 144
- 75
nimetumia cinema4D.tujaribu kutufundisha ni softwear gani unatumia babu na nizipi best softwers kwa dizaing
tujaribu kutufundisha ni softwear gani unatumia babu na nizipi best softwers kwa dizaing
lukansolamkuu project hii inachukua muda gani?
tunajaribu jaribu kaka.I see mkuu Adobe After Effect
wakuu msishituke kwa wito wangu,nimewaita mjee msafishe macho kwa kutazama na kuongea mawili matatu kuhusu hii project ndogo ya ku-design glass za kunywea maji/wine ambayo nimetoka kui-render hivi punde.karibuni sana.
View attachment 241762
View attachment 241763
Mkuu kwa elim ya hii mambo utanisaidiaje nataman sana yan daah
ndio nusu siku.mimi ni amateur ndg yangu.wewe pro ungechukua dakika ngapi?Nusu siku??? Man you're not serous.
shukrani sana Magembe R. Malima kwa observation yako,hakika kuna jambo nimejifunza.wakatti ujao nitajitahidi kuzingangatia uliyo yaeleza.asante sana.
Japo sijui hasa ulikuwa unajaribu kipi kati ya modelling ama texturing.. lakini niliyoyaona ni haya:
- UTENGENEZAJI MODELI/UMBO (MODELLING):
- Nadhani theluthi ya juu ya tumbo la bilauri (body) haikutakiwa kuwa na mawimbimawimbi (tazama sehemu A katika kielelezo) matokeo yake inakuwa uakisi wa kupindukia (too reflective), na hivyo bilauri zilizolala zinakuwa kama ni plastiki fulani nyembamba. Huenda kuna bilauri za mvinyo za namna hiyo ila binafsi sijawahi kuziona. Ondoa hayo mawimbi.
- Kwenye ungio/kikonyo (connection/junction) cha mguu na tumbo na ungio la mguu na kitako huwa na unene fulani ili kufanya ungio liwe imara (tazama sehemu B katika kielelezo) na kwa sababu hiyo eneo hilo hupindisha mwanga (refract) zaidi kuliko maeneo mengine kimwonekano. Katika umbo lako unene huo hautoshi. Ongeza hasa katika ungio la mguu na tumbo.. katika kitako inatosha. Chunguza bilauri halisi ikoje.
- UTIAJI RANGI/NAKSHI (TEXTURING): Maada (matter) mbalimbali hutofautiana namna zinavyoakisi, kusharabu ama kuchepusha (refract) mwanga. Sijui umetumia nambapeo((index)/refractive index)) ngapi.. katika jaribio nililofanya mimi nimetumia 1.5 kwa chupa na 1.7 kwa mvinyo. Lakini sina tatizo sana na texturing kama modelling katika kile ulichofanya.
KIELELEZO:
View attachment 241855
JARIBIO LANGU:
View attachment 241856
Programu: Maxon Cinema 4D, BlackmagicDesign Fusion.
Muda uliotumika: Masaa 2.5 au 3. Nimetumia muda mwingi zaidi katika kuweka texture hasa kwenye wine kwa kuwa nilikuwa nabahatisha (sikuwa na uhakika na nilichokuwa nafanya)!
mkuu snipaAre you Adobe After Effect mkuu ?
Just for being Curiosity. care should have to next time if it's.
mkuu snipa
bila shaka huyo mdau hapo juu alijichichanganya kwa bahati mbaya,amejibu post ambayo haiku muhusu.hutokea pia mda mwingine mitandaoni.let me ask you to take it easy,ain't no big deal.
nashukuru kwa kunielewa kaka.aise Magembe R. Malima sikuelewa ile michoro pale juu ktk picha yangu.kumbe umeniwekea na marks?!!.hahahaha umetisha mkuu.as beginner,i must say i'm very motivated.I've scratched ma head and wonder this with my own ain't erred.
It's for educational purpose just continue mkuu i like the way you trying to teach people from their own errand, Salute.
Easy.
kazi nzuri sana mkuu... Jitahidi kucheza na global illumination utatoa very realistic looking images, tatizo rendering time yake tu utakimbia sababu ni lazima utumie CPU kurender, GPU ingechukua less time tatizo quality sio that good sababu ya miscalculations za ray path tracing...