hapo kwa tanzania na iraq....kuna maswahili ya kujiuliza.
hii list ingekuwa feki kama wazee wa kaz jwtz wasingekuwepo!
hapo kwa tanzania na iraq....kuna maswahili ya kujiuliza.
Kama kawaida ya Watanzania,kutokujiamini kunatumaliza sana
Unakuta hata anaebisha hajui hata walioweka hii orodha wametumia viwango gani
Lakini zaidi unakuta anaebisha hajui kabisa haya masuala ya kijeshi
Hapo ndipo utamkubali Mbongo!
sisemi tanzania kijeshi wako ovyo... sema ikulu ya bongo ofisi yao iko ovyo sana, ovyo sijawahi pata kuona, wakaandika kabisa barua bila hata aibu kwenda kwa wana habari wakiwa na link ya source, na link hata sio reliable kabisa, ts just a place mtu yeyote anaruhusiwa kuandika article.. I wonder, hivi ikulu kabisa ofisi ya rais wa nchi kama Tanzania, wanakua wajinga kiasi gani kukaa hadi wakafikiria ati hii tumeiona link flani ambayo si reliable tuandike tuwatumie waandishi wa habari..
Ina maana hawana watu wataalamu wa sayansi waliodeep kabisa wanajua computer technology na ulimwengu mzima wa mtandao unavokwenda kujua kua inaeza kua just a guy kakaa kafabricate? nliona ile barua nikajisikia aibu sana, ofisi kama ya rais iko na watu wenye akili ndogo namna hiyo... wafukuze au wa-ajiri kampuni ambayo itakua inawasaidia kwenye haya maswala ya technology sio kukurupuka na kutrust kila wanaloona kwenye internet.. Madness! Stupid! hawa ni a disgrace waafrika wote tunaonekana wajinga sababu ya raia flani
Ni jeshi pekee " maalum" bado linatumia kashinkof, aibu.JWTZ ni jeshi ambalo kwa muda mrefu limejitokeza ktk media za kimataifa miaka ya 1990 gazeti la Discovery (nadhani linatolewa na USA) liliandika kwa tz miaka ile ilikuwa na askari takribani elfu 22, lilisema hata hivyo ni vigumu kujua idadi kamili kwa kuwa vijana wa tz wengi walikuwa wamepitia mafunzo ya kijeshi.
Gazeti hilo liliandika kikosi cha askari wa miguu kilikuwa bora mno kuliko majeshi mengi ya afrika. Lakini waliandika kikosi cha wanamaji na cha anga hakikuwa bora.
JWTZ ni jeshi pekee katika Afrika lenye uzoefu mkubwa wa vita kwa kuwa limeshiriki katika vita kibao kusini mwa jangwa la Sahara. JWTZ wanafahamika SA, MSUMBIJI,COMORO,USHELISHELI, UGANDA, msaada wao unajulikana huko ZIMBABWE,NAMIBIA,ANGOLA, SUDANI, DRC.
Kwa sasa ni jeshi ambalo limeanza kupewa uzoefu wa mazingira ya kupigana jangwani na katika bahari kuu kukabiri ugaidi. Vikosi vya maji na anga vimeanza kupata support ya kimataifa.Jeshi la maji limekuwa wenyeji wa takribani meli vita za mataifa makubwa kijrshi duniani.
UN imekiri pia kwamba JWTZ ni jeshi dogo lenye silaha duni lakini lenye nidhamu ya hali ya juu. Tabia hii imelifanya JWTZ lipendwe mahali pote linapopelekwa kwa misheni za umoja wa mataifa, mfano huko Darfur vikosi vya RWANDA, NIGERIA vilivurumishwa na wasudani waasi kwa kuwa havikuwa na nidhamu.Toka UN wapeleke JWTZ huko ule mvutano wa vikosi vya UN na raia wa huko umekwisha.Matokeo yake kila JWTZ wanapomaliza mkataba wa kulinda amani huko Darfur UN wamekuwa wakiomba JWTZ liendelee kubakia huko.
NIDHAMU NDIYO MSINGI MKUU WA JWTZ kuwa miongoni mwa majeshi 35 bora duniani ikishika nafasi ya 27.
KEEP IT UP JWTZ, hongera JK pia kwa kuliboresha jeshi letu kimafunzo na kwa vifaa.
Kwanza hakuna kitu kinachoitwa "Tanzania special forces in Congo",pia watu wenyewe bado wanatumia bunduki dhaifu kwenye mission za hatari, kwa kifupi " they are I'll equipped to be special forces.
JWTZ ni jeshi ambalo kwa muda mrefu limejitokeza ktk media za kimataifa miaka ya 1990 gazeti la Discovery (nadhani linatolewa na USA) liliandika kwa tz miaka ile ilikuwa na askari takribani elfu 22, lilisema hata hivyo ni vigumu kujua idadi kamili kwa kuwa vijana wa tz wengi walikuwa wamepitia mafunzo ya kijeshi.
Gazeti hilo liliandika kikosi cha askari wa miguu kilikuwa bora mno kuliko majeshi mengi ya afrika. Lakini waliandika kikosi cha wanamaji na cha anga hakikuwa bora.
JWTZ ni jeshi pekee katika Afrika lenye uzoefu mkubwa wa vita kwa kuwa limeshiriki katika vita kibao kusini mwa jangwa la Sahara. JWTZ wanafahamika SA, MSUMBIJI,COMORO,USHELISHELI, UGANDA, msaada wao unajulikana huko ZIMBABWE,NAMIBIA,ANGOLA, SUDANI, DRC.
Kwa sasa ni jeshi ambalo limeanza kupewa uzoefu wa mazingira ya kupigana jangwani na katika bahari kuu kukabiri ugaidi. Vikosi vya maji na anga vimeanza kupata support ya kimataifa.Jeshi la maji limekuwa wenyeji wa takribani meli vita za mataifa makubwa kijrshi duniani.
UN imekiri pia kwamba JWTZ ni jeshi dogo lenye silaha duni lakini lenye nidhamu ya hali ya juu. Tabia hii imelifanya JWTZ lipendwe mahali pote linapopelekwa kwa misheni za umoja wa mataifa, mfano huko Darfur vikosi vya RWANDA, NIGERIA vilivurumishwa na wasudani waasi kwa kuwa havikuwa na nidhamu.Toka UN wapeleke JWTZ huko ule mvutano wa vikosi vya UN na raia wa huko umekwisha.Matokeo yake kila JWTZ wanapomaliza mkataba wa kulinda amani huko Darfur UN wamekuwa wakiomba JWTZ liendelee kubakia huko.
NIDHAMU NDIYO MSINGI MKUU WA JWTZ kuwa miongoni mwa majeshi 35 bora duniani ikishika nafasi ya 27.
KEEP IT UP JWTZ, hongera JK pia kwa kuliboresha jeshi letu kimafunzo na kwa vifaa.
jwtz kwa kutoa doze kwa wakorofi kama m23 hakika ni hodari!Nimefarijika kukuta na jeshi letu linatambulika kwa kazi linayoifanya .......!!