Sizani utapata HTC XL kwa kilo 3,mm nipo nje ya nchi nina sony xperia arc nauza ni used ila hipo katika hali nzuri. Narudi bongo j.2 kama utakuwa bado ujapata tuwasilane tufanye biashara..