Mambo yalikuwa kwenye hiyo mianalog ilikuwa kumiliki simu ni ishu nawakumbuka sana Tritel ili upate Simu lazima
Usaini mkataba maalum we ye details zako zote in full wakati ule simu hadi kuwa na laini
Vocha iliuzwa kwa dola
Hata ukipiga sekunde moja utakatwa dakika
Ukipiga ukipigiwa inakula kotekote
Ili kuwa kama LUKU Siku hizi au ROAD LICENSE umetumia hujatumia kuna monthly charges
Wamiliki walikuwa watu wenye pesa