3 ni za kwe2 simba!

3 ni za kwe2 simba!

New Manase

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
294
Reaction score
39
Mara ya kwanza yanga walishnda tatu lakini ilikuwa siyo hadhi yao.
 
Wamebana wameachiaaa..
.

Timu ya kwenye magazeti hiyo!! Yaan Waandishi wa Habari wamemgeuza Manji mgodi wanajichukuliaga hela hata kama wakiandika pumba!!!! Sasa kuna Al-ahly Klabu Bingwa wasipopigwa mkono huko sijui!!!!!!!!
 
Kweli kabisa kaka,ndala yake mchanga,mnyama yake nyama,kelele nyiingi wanaishia kuzimia.
 
Back
Top Bottom