3 Idiot : Indian movie

3 Idiot : Indian movie

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,233
Naipenda sana hii movie, nilikuwa siyo shabiki sana wa movie za kigabachory lakin hii ndo ikafungua pazia ,na tangu hapo nimekuwa nazifuatilia kila napopata nasafi.

Ni movie Nzuri inayoquestion status quo, ikijaribu kuchallange mfumo wa elimu ,wazazi kuingilia maamuz ya watoto katika masomo na mapenz pia.

Kama haujaiona itafute ,u will learn something I guarantee.
 
kwa mtu yeyote aliyekuwa collage miaka ambayo hii movie imetoka lazima aipende since imebeba maudhui ya shule yetu ya kibongo kwa kiasi kikubwa
 
Rastogi...... Mwoga wa maisha tehhhhhhh....... Then kuna jamaa price tag. Dahhh yule naye mwehuuuu

ehhhhh then kuna milimeter... Huyu naye kiboko kwa kuchekesha

ahahahah bila kusahau SILENCER

DAHHHHH JAMAA ANAKARIRI HUYO HATARI.....
 
Rastogi...... Mwoga wa maisha tehhhhhhh....... Then kuna jamaa price tag. Dahhh yule naye mwehuuuu

ehhhhh then kuna milimeter... Huyu naye kiboko kwa kuchekesha

ahahahah bila kusahau SILENCER

DAHHHHH JAMAA ANAKARIRI HUYO HATARI.....

Hahahaa silencer walimkomeshaje kwenye ile hotuba yake...?? Yan nilicheka hatari
 
acha masikhara na definition ya machine pamoja na book
aibu naona mimi
 
Hadi chake wakampora Dr virus ndio mtu anayemanage time kuliko wote dunia hii

Ahahahah hataki kupitwa na mtu
hafanyi kazi ambazo ni unproductive
anaandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja
tai yake ya kuning'iniza ahahahaha
 
Back
Top Bottom