3.5 million Kenyans are starving

3.5 million Kenyans are starving

Sasa kama Tanzania haitosiadia Kenya si watakufa na Njaa, ndio maana wakenya wamejaa Tanzania kumbe wanakimbia njaa kwao?

Wakenya ni njaa ndio inayowasumbua hawana lolote halafu wanajifanya wajanja.
Mtume Muhammad S.A.W alisema adui yako muombee njaa
 
Dahhh
Tunawasema Wa Kenya..
Vipi hapa kwetu(TZ) sisi wote tumeshiba....???
Au tunakandamiza nchi nyingine
Ili.sisi tujisikie vizuri au tufarijike kidogo..
 
Dahhh
Tunawasema Wa Kenya..
Vipi hapa kwetu(TZ) sisi wote tumeshiba....???
Au tunakandamiza nchi nyingine
Ili.sisi tujisikie vizuri au tufarijike kidogo..

Wameyataka wenyewe haya, kwani wewe huoni kila habari inayowasifia wao na kuwakandamiza wenzao wanakimbilia kuibandika humu jamvini?

Si vizuri kumuombea mwenzio njaa lakini kama wewe ni EAC powerhouse wa kweli basi huu ndio wakati wakuonyesha ulimwengu nguvu zako...
 
Back
Top Bottom