MBOKA NA NGAI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2025 Posts 623 Reaction score 781 Apr 20, 2026 #1 Mwenye uhitaji wa hii hitu jamani, vyuma vimekaza. Bei laki tatu na nusu(350,000), inazungumzika. Ipo Dar Es Salaam/Tabata Heath
Mwenye uhitaji wa hii hitu jamani, vyuma vimekaza. Bei laki tatu na nusu(350,000), inazungumzika. Ipo Dar Es Salaam/Tabata Heath
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,055 Reaction score 110,670 Apr 20, 2026 #2 Samahani mkuu...🤔 Kwani inaliwa...??
MBOKA NA NGAI JF-Expert Member Joined Jan 31, 2025 Posts 623 Reaction score 781 Apr 20, 2026 Thread starter #3 Ushimen said: Samahani mkuu...🤔 Kwani inaliwa...?? Click to expand... inategemea na una njaa ya siku ngapi. Au unaweza itumia kuzibua mtaro wako siyo mbaya pia
Ushimen said: Samahani mkuu...🤔 Kwani inaliwa...?? Click to expand... inategemea na una njaa ya siku ngapi. Au unaweza itumia kuzibua mtaro wako siyo mbaya pia