Emmanuelasam
Member
- Oct 12, 2017
- 11
- 0
Kwa maelezo zaidi follow this namba 0679005643 on watsapSh ngap
Kwani kila mtu unaenda kumtajia bei yake huko whatsapp? Jibu swali ni bei ganiKwa maelezo zaidi follow this namba 0679005643 on watsap
Kwa ajili ya kupata bei na maelezo mengine muhimuKwa maelezo zaidi follow this namba 0679005643 on watsap
Okay km wataka bei tu ucjal bei ni moja Package 1 yenye vipakti vidogo 14, si kila MTU na bei yake. Ila nimetoa contact ya watsap cause kuna option unaweza nunua rejareja halafu pia unaweza jiunga ukawa unapata kwa bei nafuu.Kwani kila mtu unaenda kumtajia bei yake huko whatsapp? Jibu swali ni bei gani
ndo ungeweka sasa bei ya reja reja na ya aliyejiungaOkay km wataka bei tu ucjal bei ni moja Package 1 yenye vipakti vidogo 14, si kila MTU na bei yake. Ila nimetoa contact ya watsap cause kuna option unaweza nunua rejareja halafu pia unaweza jiunga ukawa unapata kwa bei nafuu.
Yap iko hivi 1 package ambayo ina vipakti vidogovidogo ndani yake ni sh. Laki 150 kwa rejareja hiyondo ungeweka sasa bei ya reja reja na ya aliyejiunga
Yap iko hivi 1 package ambayo ina vipakti vidogovidogo ndani yake ni sh. Laki 150 kwa rejareja hiyo
[emoji92] Ukitaka kujiunga kuna vifurushi vinne:-
1. Cha tsh. Laki 290, ambapo unapata package 2
2. Tsh. Milioni 1.5 unapata package 20
3 Tsh. Milioni 2.9 package 60
4. Tsh. Milioni 5 package 100
Kwa hiyo unachagua kati ya vifurushi hivyo ambacho unamudu kulipia. Ukijiunga ukapata bidhaa hizi una uwezo wa kutumia kwa tiba yako mwenyewe na zingine ukauza.
Ukishakuwa memba unaweza kuagiza kwa bei nafuu. Lkn pia ukipata wengine wakajiunga kupitia ww unapata points ambazo zitakupatia pesa.
[emoji7] [emoji93] [emoji93] Karibu[emoji93] [emoji93]
Kitu kizuri gharama. Ukijali afya hautaangalia gharama japo hali ngumu. Ndivyo ilivyombona bei kubwa hivyo? vitu vya asili vina bei hivyo???
pyramid scheme?