thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
Kwel mkuu..
Watu tunapresha hapa mwaka mzima mtaan af anasema nn huyo..
ukiwa huna uhakika na jambo usijibu na kupotosha watu ,kutemwa tena au kutotemwa ni siri ya TCU.
kila la kheri watakaopata 2nd round, wa 3rd round pia all the best
Mhhh broo umeangukia third selection !!!!?
hapana mi binafs nilipata za kwanza hiyo screencapture ya alieambiwa kufanya 2nd round, tcu ndo wanasema wameanza kuprocess 2nd round ila CAS itafunguliwa kwa ajili ya 3rd round
kila la kheri watakaopata 2nd round, wa 3rd round pia all the best
So inawezekana kutemwa tena second round application mkuu? Na ni had cku ngap wataanza ku release second batch kuanzia leo?
waliopata 1st selection ukiingia profile itaonekana haina mabadiliko ila ukienda sehemu ya profile ndo kanakuja hako kaujumbe, wa 2nd round akienda ata sehemu ya kumake 2nd round selection unakuja huo ujumbeOya mbona wengine hawajaandikiwa chochote kwenye profile zao.
mkuu ni ya kweli kwenye hyo link,, embu nifungue macho kdgo japo nmeshasoma kwenye hyo link
so hyo inamaansha huyo m2 atakuwa wa 3rd round au kwa yeyote alyepata 2round na alyekosa inakuwa hvyo? cjawasom tcu japo nmeelewa meaning ya hayo maneno
kila la kheri watakaopata 2nd round, wa 3rd round pia all the best
udsm wameshatoa majina ya undergraduate stiudents,, inakuaje kwa sisi tuliaochagua 2round mfano mm nmechagua 1.civil and 2.mining hapo udsm,, nisaidieni wadau
so hyo inamaansha huyo m2 atakuwa wa 3rd round au kwa yeyote alyepata 2round na alyekosa inakuwa hvyo? cjawasom tcu japo nmeelewa meaning ya hayo maneno
hahaha sawa nimesalenda kaka.
kila la kheri watakaopata 2nd round, wa 3rd round pia all the best
hahaha sawa nimesalenda kaka.
wenyewe wameandika watatangaza within few days , so kwa kujiongeza hapo huenda kuanzia next week.So inawezekana kutemwa tena second round application mkuu? Na ni had cku ngap wataanza ku release second batch kuanzia leo?
asante mkuu nmekuelewa...hiyo message inaonekana kwa profile ya kila mtu, ata ambae ameshapata chuo, akienda sehemu ya profile inakuja, ingawa anapologin inakuwepo ile ile ya provisional selection, ni taarifa tu juu ya kinachoendelea, wa 2nd round ata akienda sehemu ya make 2nd round blockade ni ya huo ujumbe, watakaoambiwa kufanya 3rd round utakuja ujumbe tofaut