noely swai
Member
- Jul 13, 2013
- 5
- 2
Pongezeni sana wana kamanda jitaidini tufanye mapinduzi jamani tumechoka sana tena sana
Naunga mkono hoja. Siku
ya kufariki kwa MPAMBANAJI Chacha Wangwe ni lazima ikumbukwe kila
mwaka.
Pongezeni sana wana kamanda jitaidini tufanye mapinduzi jamani tumechoka sana tena sana
Hapo kwenye red uko sahihi,mleta mada kuna kitu amelenga
ulitabiri kuwa slaa atamuacha mke wa ndoa aje kumuoa dada yako ikawa .kweli mtabiri tehtehteh
naunga mkono hoja.siku iitwe m4c victims day.
hakika chacha wangwe alikuwa mpambanaji wa kweli ndani na nje ya chadema. inasikirisha sana kuona mtu anakufa kifo cha ajabu eti kwa kosa la kutaka tu kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chadema. kitendo hicho kilitafsiriwa kuwa ni uasi ndani ya chama na adhabu yake ni kifo
ulitabiri kuwa slaa atamuacha mke wa ndoa aje kumuoa dada yako ikawa .kweli mtabiri tehtehteh