William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Huwa najiona kama nabii niliposti uzi huu kabla Rwakatare hajakamatwa na Mabomu hayajarushwa Arusha na Kesi za ugaidi za akina kileo ila bado nikapuuzwa
Kesho ni Tarehe ya siku aliyouawa Hayati CHACHA WANGWE.
CHACHA WANGWE NDIYE MWANASIASA ALIYEFANIKIWA ZAIDI KWA UPINZANI, MWANAHARAKATI WA KWELI NA SITAMSAHAU.
Siku hiyo tutawakumbuka wanaharakati wote wa Tanzania waliouwawa au kufa vifo vyenye utata kinyama katika harakati za kupigania uhuru wa kweli na democrasia ya kweli baada ya uhuru wa bendera kama.
1. Chacha Wangwe
2. Profesa Chachage alikuwa prf UDSM alimpinga mkapa sana juu ya wizi kwenye ubinafsishaji alikufa gafla kwenye semina
3. Kolimba horice ktb wa ccm alisema CCM HAINA DIRA alikufa alipokuwa akiojiwa juu ya kauli hiyo na ccm gafla
4. Mwangosi
5. Sokoine
kunawengine wengi kama wakili aliyepigwa raisasi kwake aliyekuwa anaishitaki selikali swala la mgombea binafsi akishikiana na mtikila
7. "Kombe"afsa wa police aliuawa na police alikuwa karibu na mrema agustin lyatonga
8. Kunamoja alipigwa risasi kama 30 kwake
na majambazi zaidi 10 waliovaa kijeshi
wanachadema wa3 waliouawa Arusha.
Wafuasi wa CUF 47 waliouawa 2001 na police visiwani zanzibari
pia tuwakumbuke waliokutana na mateso makali kama
Herison Mwakyembe
Kibanda
Ulimboka
kubenea
kuwe na Mikanda cd za kuonesha harakati zao
hii ítawapa ujasiri wanaharakati waliopo
mf; Maneno mazito ya mwanzo ya wangwe bungeni. ."NASHUKURU WATU WANGU WA TARIME KWA KUNIPAKURA NA KUZIRINDA MPAKA NAKUJA BUNGENI DAMU NYINGI ZILIMWAGIKA WAKIPINIGANIA" itaamsha hali ya mapinduzi ya kidemocrasia na itakuwa wazi Mtu akiuawa harakati zake zibaki daima.
Historia ni muhimu kuwekwa wazi kwa kuendeleza harakati. Kukaa kimya ni kutoa ushindi wa chee kwa wauaji.
JE SIKU HIYO IITWAJE
CHAdema day
Peopes day
siku ya Harakati
M4C victims day