Very nice pools.. hizo za rooftop ndio hua zinaniacha hoi. mfano hiyo namba 1 Marina Bay Sands iko juu kabisa ya jengo lenye ghorofa 57!! kama linavyoonekana hapa.. na minazi wameotesha huko huko.. dah..! hawa jamaa bana..
Haya ndio mambo yanayomfanya MKWEREE awe mtalii kila siku kwani hufikia hoteli za viwango hivi; halafu mnashangaa jamaa hakai nyumbani kila siku kiguu na njia!!!
Hiyo ya serengeti ipo juu, nimeipenda ila kuna nyingine kama hiyo ya Hard Rock in Las Vegas itakuaje kama wataingia watu kutoka afrika magharibi na kuanza kuoga humo pia?

You just added one more place which I must visit in my next trip home. SERENGETI! Family and I were in Rhodes Greece this summer where we had an apartment moving into the pool. But I am sure, SERENGETI will leave them breathless.