Serengeti na Maldives .......lazima nkaone kwa macho na mwisho hiyo ya las vegas......sijui nani anisindikize cc miss strong TATIANA Cougar Eshy.ms Evelyn Salt Honey Faith ....
Ukipata hela yako unaweza ukaipeleka familia yako Malibu, Monaco, Marbella, Mauritius, Fiji
Maisha monaco yapo juu sana, ndo nchi yenye mabilionea wengi per kilimetre square
Serengeti na Maldives .......lazima nkaone kwa macho na mwisho hiyo ya las vegas......sijui nani anisindikize cc miss strong TATIANA Cougar Eshy m.s Evelyn Salt Honey Faith ....
Naomba hiyo zali iniangukie mimi maana si unajua sijawahi hata kupanda ndege ila sitakuangusha kwenye kuogelea si unajua watoto wa mza tumezungukwa na lake victoria......lol huo ni wasifu wangu theboss
Very nice pools.. hizo za rooftop ndio hua zinaniacha hoi. mfano hiyo namba 1 Marina Bay Sands iko juu kabisa ya jengo lenye ghorofa 57!! kama linavyoonekana hapa.. na minazi wameotesha huko huko.. dah..! hawa jamaa bana..
vigezo na masharti kuzingatiwa......ingawa una lead now kwa point..
Nipo tayari kukusindikiza, twende na tatiana pia si ndo unapendaga eeeh? Lol....Serengeti na Maldives .......lazima nkaone kwa macho na mwisho hiyo ya las vegas......sijui nani anisindikize cc miss strong TATIANA Cougar Eshy m.s Evelyn Salt Honey Faith ....
Nitaanzia wapi kukataa?serengeti mimi na wewe maldives threesome na TATIANA unasemaje?