25,000tsh kupata local channels startimes!??

25,000tsh kupata local channels startimes!??

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
516
Reaction score
478
Jana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia)..

Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya startimes nikakuta tbc1 tu pekee.. nikajiuliza maswali mingi sana... mwishowe nikaamua kinyanyua mkonga wa simu kuwauliza kulikoni ili nitake kujua zaid..

Wakaniambia kuwa ili niendele kupata local channels natakiwa nikabadilishe card kwa gharama ya 25,000tsh kama nitaona usumbufu basi niendelee kulipia 7,000tsh..

Swali?

King'amuzi changu nilikinunua mwaka 2012 wakati huo nilikuwa naaangalia bure local channels zote mpaka hapo walipoanzisha manjilinji yao ya payments.. hivi hiyo technology yao inashindwa kukomands local channels kama mwanzo kuendelea kuwepo ama ni kama wanaendelea kubishana na serikali tu.. 25000 kuajili ya card tu peke yake usawa huu kweli ? Ni system gani wanayotumia hawa watu?..

Ina mana system yao haiwezi kurevert inajua kusetting tu kwa kwenda mbele.. decoder niliinunua 60000tsh enzi hizo plus 25000tsh now inafika 85,000tsh..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huu utaratibu ndo kwanza nausikia leo mbona hawajatangaza sasa hawa aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeusikia kutoka kwenye helpdesk yao nikashangaa ndiyo mana nikaamua tujadili mahali hapa.. ila hii ya kubadili card nilishaisikia miaka 3 nyuma ilyopita kwenye vipindi vyao tbc1 naona ndipo walipoamua kukazia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mkijua ngozi nyeupe inataka nini hamtahangaika na haya.. they fooling us we lift them up.
 
Back
Top Bottom