donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Salaam wakuu,
Pasi shaka kwa wapenzi wenzangu wa 24 (nimeirudia mwanzo-mwisho 3times) kuna baadh ya matukio ulitokea kuyakubali sana. Hebu tushee hapa:
Kwa upande wangu, mwanzoni kabisa hakuna kitendo kilinishangaza kama kugundua Nina Myers ni snitch pale CTU aisee nilikasirika sana. Vile vile wale jamaa walivyomuua Renee walker naku unleash hasira za Jack bauer aisee watu walikiona cha mtema kuni.
yeah hata mimi miaka ile nilipoimaliza ile series niludhani mchezo ndo umeishia pale kwa jack sasa nilishindwa kuelewa nilipokuja kuona season inayofuata jack yupo na hakuna walipoonyesha jamaa aliponajeme season 9 kwnda season 10 ndo cjawapata baada ya jack kuwa exposed na nuclear material ameponaje wakat kulikuwa hakuna tiba ya hio kitu..! me kama cjaelewa vilee, all in all is the my best movie ya kijajus kuwahi kutokea..!
mi sijawakubali pale j.b alipouvamia ubalozi wa Urusi kizembe namna ile.
Nalog off
umeona eh!Sema pale kweli kiaina walitudanganya openly!
me season 9 kwnda season 10 ndo cjawapata baada ya jack kuwa exposed na nuclear material ameponaje wakat kulikuwa hakuna tiba ya hio kitu..! me kama cjaelewa vilee, all in all is the my best movie ya kijajus kuwahi kutokea..!
umeona eh!
Nalog off
Sikumbuki ni Season ya ngapi, ila ni Season nzima aliyokamua Habib Marwan, lile gaidi ni soo.
DEMBA ila raisi Charles Logan is funniest president ever nilikua nacheka sana alivyokua anamuogopa Jack
mkuu donlucchese hakuna sehemu inaniumiza kama magaidi walipowaua David palmer na Michelle Dessler. yaani nilitamani hata niache kuangalia ile series
Sikumbuki ni Season ya ngapi, ila ni Season nzima aliyokamua Habib Marwan, lile gaidi ni soo.