24“-27" PC Monitor inatakiwa

24“-27" PC Monitor inatakiwa

Mars Rover

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
338
Reaction score
140
Wakuu habari za siku nyingi? Naomba kama kuna mtu anaeuza PC Monitor nzuri kuanzia 23" hadi 27" anijuze. Nipo kwenye project moja ya custom PC Build, parts zote zimefika ila monitor nimeamua kuchukulia hapa Tanzania kwa sababu ya shipping cost kuwa kubwa sana.

Specs za monitor (Angalau)
Brand: Dell, Asus, HP, ViewSonic, BenQ, Samsung.
Resolution: 1080p (Minimum)
Latency: 6ms (angalau)

Pia nitahitaji Mouse na keyboard nzuri.

Kama una ushauri pia nitashukuru.
 
used? nenda kaale computers mtaa wa likoma kariakoo inaangalizana na KKKT wanakuwa na monitor nzuri sometime hadi za 4k unapata kwa 500k.

mouse na keyboard pia used, kwa mpya sidhani kama zipo nzuri hapa bongo nyingi mouse zao zina dpi ndogo mshale hauko smooth.
 
Shukrani mkuu, mimi nipo Arusha unaweza kuwa na mawasiliano ya hawa jamaa.?
Kwako wewe unarecommend Keyboard na Mouse gani?
 
Back
Top Bottom