Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,859
- Thread starter
-
- #61
π€π€ duh, kwani hili neno hela nyingi lina maana gani, mimi nilijua huko itakuwa ni mwendo wa kula bata tu!!!ukitumia vibaya hela zikaisha, hakuna kurudi Tz ukale mihogo, itabidi ukamae huko huko π π
Kakubali kufanyaje kaka πKwahiyo mwenyewe si kakubali!!
Kuchumpa nae.Kakubali kufanyaje kaka π
Bado ila dua zenu zinahitajikaπKuchumpa nae.
Basi hamna noma dua nene mzee, shetani amsimamie vilivyo hadi akubali hili jambo.Bado ila dua zenu zinahitajikaπ
Ni kula Bata tu ila ukianza kutafuta stress za kusomesha watu lazma upate sonona mwisho uibiwe hela zote uwe apeche alolo π π ππ€π€ duh, kwani hili neno hela nyingi lina maana gani, mimi nilijua huko itakuwa ni mwendo wa kula bata tu!!!
π€£π€£π€£ duh! Sasa mimi na wewe mademu wa kibantu tutawapata wapi!!!Ni kula Bata tu ila ukianza kutafuta stress za kusomesha watu lazma upate sonona mwisho uibiwe hela zote uwe apeche alolo π π π
πππ Me nina demu anaitwa Aisha piko mtoto wa mburahati nitaenda naye mambeleπ€£π€£π€£ duh! Sasa mimi na wewe mademu wa kibantu tutawapata wapi!!!
π€π€ Duh! Kwahiyo huko sipati kabisa demu mnene mweusi?πππ Me nina demu anaitwa Aisha piko mtoto wa mburahati nitaenda naye mambele
Una uhakika na unayoyasema?πππ
Ni Daktari wa binaadamu, Anaitwa Dr babushompa(kama sijakosea) ukimfuatilia Insta utacheka hadi ukaribie kufa.
Sawa muimba singeri
ππsiyo mzima huyu awahishwe milembeHiii kiazi ina matatizo ya akili
Kivipi sasa! Ni sahihi nilivyokwambia.Una uhakika na unayoyasema?
π€£π€£π€£ 9...Na mandevu yake Kama Shadow Master wa Double Dragons.