Sio kwel shindiiTunaanza maandalizi ya mazishi.
Sijui sina elimu kwenye hilo ila kama ni kwa wema sioni shida kumshirikisha mola mlezi.ππ Nikisema Inshallah ntakuwa nakosea kaka π
Kuna wema kwenye kumtorosha mtoto wa mtu kakaππ, tuseme AstaghfirllahSijui sina elimu kwenye hilo ila kama ni kwa wema sioni shida kumshirikisha mola mlezi.
πππ pengine unamtorosha ili kwenda kumpa vitu vya msingi ikiwemo elimu mbona sioni ubaya! Au mkitoroka huko ughaibuni mtaenda kufanya nini?Kuna wema kwenye kumtorosha mtoto wa mtu kakaππ, tuseme Astaghfirllah
Hivi n nani huyuHiii kiazi ina matatizo ya akili
Dr manyau nyauHivi n nani huyu
Huyu ni Dr wa nini?Dr manyau nyau
Dah yani nimtoreshe mtoto mzuri ili aende kusoma, huo si utakua ujinga π mungu aniepushie na hayo mawazo kaka πππππ pengine unamtorosha ili kwenda kumpa vitu vya msingi ikiwemo elimu mbona sioni ubaya! Au mkitoroka huko ughaibuni mtaenda kufanya nini?
Hapo mpaka moyo umeshtuka ety apate elimu halafu aende kwa muzungu wa kiespanol πDah yani nimtoreshe mtoto mzuri ili aende kusoma, huo si utakua ujinga π mungu aniepushie na hayo mawazo kaka ππ
Muimba SINGELI hanitakii mema kabisa, niende spain kumbebea mabegi ya shuleππHapo mpaka moyo umeshtuka ety apate elimu halafu aende kwa muzungu wa kiespanol π
Hapo kumbuka nchi ushauza hauna nyumbani pakurudia πMuimba SINGELI hanitakii mema kabisa, niende spain kumbebea mabegi ya shuleππ
πππππDr manyau nyau
πππHuyu ni Dr wa nini?
πππ kwani wewe una mpango gani nae huko nje!!Dah yani nimtoreshe mtoto mzuri ili aende kusoma, huo si utakua ujinga π mungu aniepushie na hayo mawazo kaka ππ
Nani huyu tena
π€π€ si mshasema tutakuwa na hela nyingi sasa pakurudia kivipi tena mbona mnanichanganya!!Hapo kumbuka nchi ushauza hauna nyumbani pakurudia π
Akaangalie el classico π , na PGπππππ kwani wewe una mpango gani nae huko nje!!
ukitumia vibaya hela zikaisha, hakuna kurudi Tz ukale mihogo, itabidi ukamae huko huko π ππ€π€ si mshasema tutakuwa na hela nyingi sasa pakurudia kivipi tena mbona mnanichanganya!!
Kwahiyo mwenyewe si kakubali!!Akaangalie el classico π , na PGππ