23% si kwa wote

23% si kwa wote

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
291
Reaction score
281
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.

Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.

Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
 
Ukiskia 'Big Fat lie' ndohii sasa... inamaana kwenye kila watumishi 10 watumishi 7 wameongezwa mshahara kwa 23%???
Kwanini kiongozi mkubwa unaongea uongo mkubwa hivi hadharani!!!
Naskitika hatuna waandishi mahiri wanaoweza kufuatilia na kuwajuza raia ukweli wanaishia kupublish matamko kama yalivyo.
Hata tucta hawan akili ya kufuatilia yasemwayo na viongozi waongo... kwa style hii Tz kuendelea ningumu mmmno ujinga upo viwango vyajuu sana
 
"Enyi watumishi toshekeni na mishahara yenu"😀😀
Luka 3:14
 
Ninachojua serikali inatakiwa iwe fair kwa wafanyakazi wake wote. Hakuna mfanyakazi asiye na kima cha chini. Kama ndiyo hoja, basi kila mfanyakazi alitakiwa apate nyongeza ya 23% kwenye mshahara wake wa kima cha chini. Ajabu ni kwamba kuna watu ambao hawajapata kabisa ama waliopata wamepata kiwango kidogo chini ya wale waliopata kima cha chini ilhali nao pia wana kima sawa cha chini. Hoja ya ubaguzi wa wafanyakazi ianzia hapa. Lengo la nyongeza ya mishahara huwa sio kwa ajili ya wafanyakazi fulani tu bali kuinua viwango vya kipato kwa wafanyakazi wote. Kima cha chini huweka kama msingi wa kutawanya nyongeza ila haitegemewi wenye mshahara juu ya kima cha chini wapate nyongeza kidogo zaidi ya wale wa kima cha chini kwani nao pia wanacho hicho kima cha chini.
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.

Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.

Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
 
Serikali imesema nyongeza ya mishahara 23% iliyotangazwa mwaka huu 2022, inawalenga watumishi kati asilimia 75 hadi 78 wanaopokea mishahara midogo, na siyo wenye mishahara mikubwa kama vile Mawaziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Mikoa.

Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo tarehe 29 Julai 2022 na kusema kwamba ni kweli kwamba 23% iliyotamkwa haijalipa watu wote na ni kwasababu wa kanuni inayotumika katika kutamka viwango vya mishahara na kinapotamkwa wanaonufaika si wote mpaka wa mishahara mikubwa, wanaonufaika ni wale wa kada ya chini.

Na huku juu kwa watumishi wenye mapato makubwa hawapati ile percentage (asilimia) ilivyo kwasababu ukiwalipa kwa ile 23 watakuwa wameenda mbali zaidi ya hawa wachini kwahiyo gap (nafasi) litakuwa kubwa zaidi.
We are no longer fools you were used to lie to. Tutapambana hiyo keki tule sote, sio mtunyonye sisi wa chini.

Bora kufa ukipambana, kuliko kukaa na kuishi nanyi mdhalimu wa maisha yetu.
 
Hivi hajui kama kuna baadhi ya watumishi hawajapata kabisa hiyo nyongeza na ni miongoni mwa hao wa kima cha chini!
 
Ukiskia 'Big Fat lie' ndohii sasa... inamaana kwenye kila watumishi 10 watumishi 7 wameongezwa mshahara kwa 23%???
Kwanini kiongozi mkubwa unaongea uongo mkubwa hivi hadharani!!!
Naskitika hatuna waandishi mahiri wanaoweza kufuatilia na kuwajuza raia ukweli wanaishia kupublish matamko kama yalivyo.
Hata tucta hawan akili ya kufuatilia yasemwayo na viongozi waongo... kwa style hii Tz kuendelea ningumu mmmno ujinga upo viwango vyajuu sana
true!
 
Hapa sasa ngoja tumsemee mama. Kila mtu anajua Mei Mosi ndio siku ambayo hutoa picha ya mustakabali wa wafanyakazi kimaslahi kwa siku zijazo.

Wakati wa Mei mosi maza alisema suala linashughulikiwa na wala hakutoa mustakabali wowote. Kwa lugha nyingine suala liliishia pale. Yawezekana aliona uwezo wa serikali yake kushughulika na ongezeko ni mdogo.

Watu wakaanza kupiga kelele hasa baada ya Mwinyi kule zanzibar kutoa ahadi ikifuatiwa na Kenya nadhani na Rwanda.

Mama akawa hali pilau yake ikashuka wala chai yake ya amdalasini. Akaona ee isiwe tabu. Akabutua. Yawezekana alisema tutajua mbele ya safari.
Ikumbukwe mama anapambana sana kukopa hela. Pengine aliamini ndani ya kipindi hicho na kuendelea mabulungutu mengi yangekuwa yameingia hivyo wangechomoa na kulipa watumishi.

Sasa mambo yamebaunsi. Matarajio hayajakutana na ahadi na mahitaji. Inabidi maafisa wa serikali wajitose kuokoa jahazi la mama.

Lakini haya yote tumesababisha sie wenyewe wafanyakazi. Ahadi ya kumlazinishia mtu ina changamoto zake. Sie tupo nje ila wao waliopo ndani wanajua uwezo wa kapu lao.
 
Back
Top Bottom