Team Lisu acheni kelele subirini sanduku la kura
Kampemi yenyewe hamjui kufanya
Mbowe team wametulia tuli wanasubiri wawaonyeshe cha mtema kuni
Zimebaki siku 8 tu Lisu aonyeshwe cha mtema kuni kwenye sanduku la kura
Hataamini miwani yake ataomba ibadillishwe lensi kabla ya kutimkia ubelgiji