2030: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
Nimesikilza wimbo mpya wa roma mkatoliki ni wimbo wenye ujumbe mkali sana na wenye kuongea kwa hisia kali.
ukuwapi wimbo na unaitwaje?

Unaitwa 2030.. Jibu la ule wimbo wake wa Mathematics.



Isikilize hapa:
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=77912&d=1357126820[/JFMP3]
 
thread haina kichwa wala miguu
 
Mbona hakuna contents au tuchangie kwa uzoefu? Uzi haujakamilika mkuu.
 
Sasa hapo kwenye kochi chandarua unakivaa kama shuka ili kuzuia mbu, la sivyo hata ukitaka kupost kitu unajikuta unajikuna maumivu kisha uzi haukamiliki.Ukiamka asubuhi shemeji anakuwekea mezani kitabu chenye historia ya mbu aina ya anopheles!
 
Dah! Huyu jamaa kweli anajiamini
sana maana mambo mengine mimi simwelewi vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…