mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,944
- 81,593
Sio wote wana matatizo, Ila kuanza mechi 1-0 ni ngumu.Sio lazima aoe, ila kupanikisha wenzenu kisa mnakutana na aina hizo huko mitaani sio freshy! Na huyu kaka kutetea hili kundi sio swala.. acheni kutukana single mamaz!
SawaaSio wote wana matatizo, Ila kuanza mechi 1-0 ni ngumu.
Hapa hatuongelei issue ya mtu mmoja,unatakiwa uelewe hilo kwanza,tunaongelea tatizo lililopo kwenye jamii kwa ujumla,Tafuta S.M mmoja umuoe mkuu, umpunguzie mzigo.
Ni ngumu kuwaoa mkuu hata kama tatizo ni la nani.Hapa hatuongelei issue ya mtu mmoja,unatakiwa uelewe hilo kwanza,tunaongelea tatizo lililopo kwenye jamii kwa ujumla,
Wapo single mother ambao ni matokeo ya waliowazalisha kuyakimbia majukumu yao ya malezi kwa mtoto,
Upo uzi umetumwa juzi hapa,kuna mtu kamzalisha mdada halafu anaenda kumuoa mwanamke mwingine,sasa hapo utamlaumu aje huyo single mother peke yake?
Solution ya hili tatizo ni kuliangalia pande zote mbili na sio kuelekeza lawama upande mmoja,
Matatizo hua hayatatuliwi hivyo,ni lazima ujue chanzo cha tatizo root cause.
Upo sahihi 100%kuna kitu unahalilisha lakn kwa siri sana,
ukiwa single Maza tayari ni doa no matter what.
Nafikiri tumeielewa mada tofauti,coz mada haiongelei kuoa single mother bali kuwabeza single mother,Ni ngumu kuwaoa mkuu hata kama tatizo ni la nani.
Uhuru wa kutooa/kutoolewa na mwenye mtoto upo, haujabanwa.
We mwanamke haujali kumbe πHakurudi jana hata sijui kwakweliπ
Kapata jimama hukoo tu, namie natafuta ndogondogo njoo basiπWe mwanamke haujali kumbe π
Nimeandika na kufuta kama mara hamsini hivi, all in all I wish y'all the best katika kuiburudisha na kuifarijisha jamii yetu ya manhood.Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu
Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe
2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu.
Huu mwaka kimyaaa
Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje tuchambwe
naja π₯°Hanaga shida huyo we kuja hapaπ