Hii mechi inaamiliwa na ufundi WA mchezaji mmoja mmoja , Tatizo NI ufundiUfaransa wapewe nini tena 🙌🙌🙌
Tulia 🤣Au ulizuiliwa kuingia Uingereza?
Nashangaa aisee...Inamaana Kiungo ya England imekufa kabisa
Ya nne inawatoshaUfaransa wapewe nini tena 🙌🙌🙌
Au Alonso ndo aletwe England?Chelsea wana Alonso sasa
Kabisa mkuu saivi ingekua 4 x 4 tuone wakitoana damu ingekua hivi 🔥🔥🔥Hii mechi inaamiliwa na ufundi WA mchezaji mmoja mmoja , Tatizo NI ufundi
Dah tuta 😭Ya nne inawatosha
Kwa leo umewakosa wasubiri tena 2030 au 2028 kwenye EuroTulia 🤣
Sina maoni😎Kwa leo umewakosa wasubiri tena 2030 au 2028 kwenye Euro