Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,733
- 23,354
Sub yake imekosa kumalizia mwisho. Sijaielewa bado.Haisen Hasan beki matata na muanzisha mashambulizi yaliyozaa magoli yote ya Misri amekwenda bench!
Kombe la dunia halina mwenyewe bwasheee leo ata bia haikai kichwani
Ni nadra sana timu za Africa kutamba mbele ya Argentina kwenye World Cup tangu Cameroon ya 1990..Siwezi panic kwa vitu vidogo mkuu ila ukiidharau Africa na ndipo unapotokea huna akili mkuu
Uimara wa uishindani kwa timu za bara la Afrika ndio chachu. Issue ni uwekezaji upande huo uelekezweNi aibu sana kutolewa na team ya Africa