Pamoja mwamwi!All the Best
Kati ya lugha ningependa kujifunza muda huu pamoja na portugueseKispanish kitamu sana
Hachoshi kumsikilizaNamuangalia leaky hapa kupitia AZAM
ππππNipo hapa, naona wanajipitisha kwanza...
Sauz hapa! Mexico mnaanza kwa kupigwaNipo Mekiko ( Mexico )
Wasauzi lolote baya liwakute
Nipo kwangu, na sina uhakika... Mechi ya kumi na moja alfajiri nitaenda kuingalizia nje...ππππ
Fahari ya macho fanya kusafisha macho lo
Uhakika wanini tena kucheki boli uhakika troshaaa!Nipo kwangu, na sina uhakika... Mechi ya kumi na moja alfajiri nitaenda kuingalizia nje...