2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nadhani uran amefunga mjadala
Soma comment yake hapo juu
Unachokisema kwa siasa za Tanzania hakiwezekani
Na mimi kama mzazi hata ingekuwa inawezekana, sitamshauri aje kucheza na wamatumbi
 
Tafadhari kijana kapombe aheshimiwe.
 
Umemaliza
Kwa hiyo hoja yake ya wazaliwe huko ulaya halafu wachezee bongo haina mantiki
Kibu Dennis ndio mfano wa tikitaka tunayotakiwa kuchukua. Mfano waatoto wa Tundu Lissu wawe wachezaji sisi tupite nao juu kwa juu.

Marehemu Ruge Mutahaba si kazaliwa, kakulia na kusoma Marekani, alivyorudi aliambiwa sio raia?

Maria Sarungi utasema ni Hungarian na sio Mtanzania?

Inabidi tuwe wezi. Marekani iliiba wanasayansi wa Nazi Germany hata waliokuwa na makosa ya kibinadamu. Walter von Braun mwanzilishi wa NASA alikuwa Mjerumani hata English yake angezidiwa na wanafunzi wa shule ya kata bongo. Huwezi tegemea tu haya makabila 126 sijui Wayao na Wangoni eti uwe na taifa lenye maana yoyote duniani. Hata tushindane kwenye uchawi, uvivu, unafiki, wizi, utapeli bado hatushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…