Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegal
π€£π€£π€£ wachache tu ndio wana hope nao.Wenyewe hawataki shobo wala hawataki support ya ngozi nyeusi inayo jiita waafrika. So hizo hopes zenu mzipeleke ghana senegal
Sio ushabiki wetu ni walivyo sema wao wenyeweRightfully so. Ushabiki wenu hauwaongezei au kupunguza chochote kile kwao.
So long as wameingia under CAF ni timu ya Africa sijaongelea ushabiki hapa.
Aliwakilisha na kuwasilisha ya wenzake dressing roomHilo alisema mmoja wao tu 2022.
Sio ushabiki wetu ni walivyo sema wao wenyewe
ππ Wametabiriwa kuwa bingwaUholanzi hamna timu. Matapeli watupu wamejazana.
Akitoka na uholanzi sifatilii tena mechi zilizobak
Matokeo yakoje?Morocco wamechezea chance nyingi sana Wanastahili kupoteza.