2026 FIFA World Cup - Special Thread

Goli la Tano (Dakika ya 82)
Mshambuliaji Iliman Ndiaye amepiga shuti kali na la kustaajabisha lililokwenda moja kwa moja wavuni na kuiandikia Senegal goli la tano. Goli hili linaifanya Senegal kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kufunga magoli matano katika mechi moja ya Kombe la Dunia 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…