comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,688
- 17,955
Hili wamejifunga🤣🤣Tunataka goli la Ronaldo, haya magoli mengine hatuwezi kuyashangilia
Miaka 40s ya nje sio kama ya Tanzania 😂Hivi Ronaldo anamiaka 41 kweli.?
Mbona kama mwepesi sana
Miaka 40s ya nje sio kama ya Tanzania 😂
Chumaaaa cha 4
Huna wema 😀Ikiwezekana magoli yote yaliyobaki wajifunge wenyewe tu
Lile lao moja?? Uliona ni la halali?Wamekera kuwakataliq lile goli uzb...duh