2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hamna kitu mdau, kabla ya mashindano makubwa huwa wanajimwambafai ile mbaya, baadae miguu chini! You wait and see...
Sasa hivi mbona wako low key sana?

Chukulia miaka ya nyuma unaita kikosi huwajumuishi Wana England talented kama Palmer na Foden na wananchi wametulia tu, tena wakati huu ambao walikuwa kwenye timu za ndani.

Achilia mbali Trent Alexander-Arnold! No complain, sasa wanajimwambafai aje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…