britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Wa Kwanza naniitakuwa ni mara ya pili tanzania kuwa na rais aliyeghushi elimu
Pole sana huijuwi siri ya siri.. Pole sanaKuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.
Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)
Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.
Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,
Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,
Kwa bahati mbaya mbinu hii iliingiliwa na virus mwaka 2015 baada ya Chaguo la Kikwete kutupwa mbali
Na Mkapa akaitumia kutekeleza,
Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea
Britanicca
[HASHTAG]#bringbackbensaanane[/HASHTAG]Wa Kwanza nani
Hapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5
Hayo umeona ni Suluhu hassani2025 Rais ni Muslim Makonda ni dini gani?
Shekhe Yayaha kapata mrithi..
Mbona ni mstaarabu sanaaaMbona watu watafungwa Sana , anaweza kuwa dictator mbaya kuwahi kutokea
Samia hawez mtiti wa makinikiaPia ningekuwa nimewaza juu ya majaliwa
Ila history haiwapendelei mawaziri wakuu
1. Mzee wa OAU yulee
2. Malecela katuachia lemutuzi ndo aliona ncha muhim
3.Lowassa
4. Pinda
5. Sumaye
Mama Samia suluhu ndo Rais ajaye uku lissu akiendelea kuwa mnadhimu wa kambi rasmi upinzani bungeni
HahaHapa hauko sahihi ila la Mwenyekiti na Makonda uko sahihi!
Waswahili tunasema kuna watu wanafuga misukule, lakini wenzetu wazungu wanaita "Zombie". Kuna chama mwenyekiti wao ndiye aliyeshikilia akili zao na anachoamua yeye ndiyo na wao hufuata.
Nadharia hii ya Isaac Asimov inafaa sana kwa wana CCM na chama chao!!
nani aliyeweza?Samia hawez mtiti wa makinikia
Mchochezi wewe unataka nini wakati sisi tumeshanyooka? Msubiri Lissu ndo ana mdomo wa kusema kisheria.Wa Kwanza nani
Nani kakwambià lazima awe musilamu, mbona unaleta mawaazo ya Lowassa ya mluteli??HAIWEZEKAN MKUU.
KWANZA NI LAZIMA AWE MUISLAM 2025 BILA KUJALI ATATOKA CHAMA GANI.. KWA HYO MPK HAPO UTABIRI WAKO UMEFELI LABDA 2035
CCM ITAMSMAMISHA AIDHA HUSEIN MWINYI AU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA
UKAWA SIJUI KWA KWELI.
Umesahau hussein mwinyi ndo Rais
Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma[/QUOTE
kwenye mfumo wa vyama Vingi kumweka mzanzibari kugombea uraisi ni kuvunja muungano kama una akili utanielewa