britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,635
- 29,967
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.
Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)
Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.
Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,
Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,
Kwa bahati mbaya mbinu hii iliingiliwa na virus mwaka 2015 baada ya Chaguo la Kikwete kutupwa mbali
Na Mkapa akaitumia kutekeleza,
Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea
Britanicca