• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

2025 CCM kutumia Isaac Asimov science fiction kumpitisha Makonda kugombea Urais? (Franchise story)

yeddy guyy

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Messages
611
Points
500
yeddy guyy

yeddy guyy

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2015
611 500
Duh matamko yatakuwa mengi sana maendeleo yatakuwa makubwa sana.ila wale wazee wa ngada na wauza nyuchi pale buguruni wangekiona chamoto
 
SADOCK NJIGINYA

SADOCK NJIGINYA

Verified Member
Joined
Mar 26, 2013
Messages
1,154
Points
2,000
SADOCK NJIGINYA

SADOCK NJIGINYA

Verified Member
Joined Mar 26, 2013
1,154 2,000
Naona mijadala ya nani awe rais imeshamiri sana
 
M

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Messages
1,767
Points
2,000
M

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2011
1,767 2,000
nani aliyeweza?
Over my dead body. Bashite yuko hapa kwa ajili ya kubebwa tu na kamwe habebeki zaidi ya hapo. Kitakachotokea kwake baada ya 2025 ni kupelekwa mahakamani kwa kosa la jinai. Kosa lake linafahamiika. Kumbuka kosa la jinai halina ukomo.
 
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
6,030
Points
2,000
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
6,030 2,000
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.

Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)

Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.

Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,

Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,

Kwa bahati mbaya mbinu hii iliingiliwa na virus mwaka 2015 baada ya Chaguo la Kikwete kutupwa mbali
Na Mkapa akaitumia kutekeleza,

Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea

Britanicca
Duh ikifika hapo nitaukana utanzania kwa kuzaliwa taifa lililo jaa wajinga kila kona
 
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
10,787
Points
2,000
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
10,787 2,000
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na uchaguzi, inateua mtu mmoja tu apige kura,na kura ya mtu huyo inakuwa imewakilisha vizuri kura za Wamarekani wote.

Kuna mtu anaitwa Norman Miller, anateuliwa na computer ya Multivac kuwa ndiye atapiga kura kwa niaba ya Wamarekani wote katikauchaguzi wa mwaka 2008 (hizi stories ni za kutoka 1940s, kwa hiyo 2008 waliona miaka mingi sana mbele)

Nikikumbuka hii story, naona kama sisi hatuna computer ya Multivac ituchagulie mtu wa kutuchagulia rais, lakini Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.

Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,

Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,

Kwa bahati mbaya mbinu hii iliingiliwa na virus mwaka 2015 baada ya Chaguo la Kikwete kutupwa mbali
Na Mkapa akaitumia kutekeleza,

Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea

Britanicca
NimEipenda
 
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
3,043
Points
2,000
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
3,043 2,000
sio nchi ya baba yao hii..
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,902
Points
2,000
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,902 2,000
Watanzania wanafiki sana na njaa kali zaidi hawauwezi bado huu utaratibu
 
much know

much know

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
2,646
Points
2,000
much know

much know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
2,646 2,000
Wanataka kutupoteza tusimtoe magu 2020 lengo letu wanaccm nkukwondoa magu huku anaona
 
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
3,013
Points
2,000
SANCTUS ANACLETUS

SANCTUS ANACLETUS

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
3,013 2,000
2025 Rais ni Muslim Makonda ni dini gani?

Shekhe Yayaha kapata mrithi..

Enzi za kuwa na vipindi vya uraisi kutegemea na dini ya mtu zimepita. Kwanza huo utamaduni sio rasmi katika nchi hii kwamba akitawala Muislamu basi anayefuata ni Mkiristu! Nchi hii haina dini unaanzia wapi kufikiria jambo la namna hiyo?

Katiba ambayo ni msingi Wa sifa na vigezo vya nani awe Raisi haitaji jambo hilo!

Kama utamaduni huo uliwahi kuwepo huko nyuma mahitaji yaliyopelekea kuwa hivyo kwa sasa hayapo tena! Hii ni sawa na oral tradition na thinking ya kusema zamu hii mgombea atoke visiwani na zamu ile atokee bara. Mapokeo hayo sasa yamekufa kwa sababu kiini cha kufanya hivyo hakipo tena.

Tunapoongelea Raisi Wa Jamhuri ya Muungano hatuzungumzi tena habari ya Zanzibar wala Bara bali nchi moja ambapo kila mtanzania mwenye sifa anastahili kugombea na wala sio tena vigezo vya Ubara au Uzanzibari.

Hatutaki habari ya Zamu hii mkiristu au zamu ile muislamu. Tunataka mtu atakayeweza kuongoza nchi kulingana na mahitaji ya wakati huo ya nchi yetu na sio imani ya mtu.

Hivi tunapojenga hoja ya Ukiristu na Uislamu, tunafanya hivyo tukiwa timamu juu ya idadi halisi ya wapagani na waumini wa imani nyingine tofauti na hizo mbili? Hao wasio Waislamu na Wakiristu,wao zamu yao ni lini?
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,955
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,955 2,000

Kabisa
 
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,389
Points
2,000
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,389 2,000
NAONA MNAINGILIA HATA KAZI YA MUNGU. NANI KAWAAMBIA KUWA MWAKA HUO MAKONDA ATAKUWEPO HAI, HATA NYERERE ALISEMA ATAMUONA RAIS WA NNE LAKINI MIPANGO YA MUNGU HAIVURUGWI NA MWANADAMU
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,955
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,955 2,000
NAONA MNAINGILIA HATA KAZI YA MUNGU. NANI KAWAAMBIA KUWA MWAKA HUO MAKONDA ATAKUWEPO HAI, HATA NYERERE ALISEMA ATAMUONA RAIS WA NNE LAKINI MIPANGO YA MUNGU HAIVURUGWI NA MWANADAMU
Kwa kazi ilofanyika pale london Bila kingunge Lowassa na Che nkapa Nchonga angemuona Mkwere akiwa Rais wa nne
 
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
5,437
Points
2,000
likandambwasada

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
5,437 2,000
@britanica HLO LA DINI NDO UKWELI, HALIPO KTK SHERIA YOYOTE ILA HUO NDO UHALISIA, KWAMBA KIJITI MNAPOKEZANA, TIZAMA AWAMU ZOTE UTAPATA MAJIBU.

1. NYERERE
2. MWINYI
3. MKAPA (LICHA YA KIKWETE KUWA KINARA LAKN ALIPGWA CHINI)
4. KIKWETE
5. MAGUFULI..
Nadhan umeelewa..

Kiufupi muislamu/mkristo anayechukua form awamu ambyo syo yake ktk urais anapoteza muda..

Kuhusu znz na bara katiba inasema kuwa "kama Rais wa JMT atatoka bara basi makamu wa rais lazma atoke znz, na kama rais atatola znz, makamu lazma atoke bara.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
34,169
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
34,169 2,000
Kuna story moja ya mtu wa kutuchagulia rais, Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa ndiye mtu ambaye atatuchagulia kwa namna moja au nyingine.

Na anaweza kumchagua RC makonda kuwa mgombea kulingana na utendaji wake wa kazi,

Ikumbukwe mbinu hii ilitumiwa na Nyerere mwaka 1984/5 na akaitumia mwaka 1995 baada ya kuona orodha iloletwa haifai akasema muwekeni hata waziri Mkapa kwenye wagombea ili aje ampitishe,

Haya ni mawazo yangu ambayo wengi wata realise siku ikitokea

Britanicca
Mkuu britanicca,
Naunga mkono hoja, nisome Hata

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P.
 
Forum statistics

Threads 1,403,335
Members 531,183
Posts 34,420,828
Top